Habari wana JF,
Kuna fursa tunaweza ku ungana kama vijana na tukajiajiri wenyewe(kwa walio serious tu)
Nahitaji vijana wasiopunguwa kumi(10) ili tuweze ku ungana na kujiajiri wenyewe
Vijana hao wawe na Sifa zifuatazo
1. Sifa ya msingi; Angalau awe na elimu ya shahada ya kwanza
2. Awe ana uzoefu au alishawahi kufanya kazi za mauzo kwa muda wa miaka isiyopunguwa mitatu(3) i.e awe alikuwa sales representative au sales freelancer au marketing officer au sales officer, na mengine yananyofanana na hivyo
3. Au awe alikua afisa mikopo kwa muda usiopunguwa miaka mitatu(3)
Kwa kuzingatia sifa zilizopo hapo za ujuzi huo, lipo wazo la biashara tunaweza tukaungana vijana wenye ujuzi huo na tukaisimamisha biashara ikawa ajira kwetu
Kwa wale waliopo tayari naomba watume cv zao kwa email kassa.mwakambaya18@gmail.com
Mwisho wa kupukea maombi ni 26/04/2022 saa 17:59
Ahsante