Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, tupo mtaa wa vitendo, kata ya Misugusugu, mkoa wa Pwani, namba zetu za simu 0625249605. Kituo kinaitwa "Miyomboni Shule" au Misugusugu Shule ya Msingi.
Fursa za kazi zilizopo sasa ni "production Manager" kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya ujenzi vinavyoundwa kwa cement, mchanga ?udongo na kokoto.
Kama una ujuzi wa ufundi ujenzi (masonry) na una vyeti vya kusomea ujenzi VETA au chuo chochote cha ufundi utapewa kipaumbele na utachukuliwa kama fundi anejifunza bidhaa aina mpya (apprentist). Kama una uzoefu wa ujenzi pia utafikiriwa. Kama hauna ujuzi kabisa na unataka kutumia fursa basi utachukuliwa kama mwanafunzi.
Vigezo vikuu ni uwe na kiu ya kujifunza, uwe na uwezo wa kuandika na kuweka kumbukumbu vizuri kwa maandishi, uwe na shauku ya kujifunza kutumia kompyuta.
Utafundishwa kuelewa materials, kuelewa ratios, kuelewa mashine nna molds aina mbali mbali lengo ni uwe msimamizi wa shift (foreman)., uwe mstahamilivu, uwe mwaminifu, uwe na shauku ya kuyageuza matatizo kuwa fursa, uwe mchapa kazi anaejituma sio anaetumwa na uwe na uwezo wa kuongoza wengine.
Walimu wa Veta wastaafu au wenye uwezo wa usimamizi watapewa kipa umbele.
Sisi tuliwezeshwa (empowered mashine za kuunda vifaa na kujengea shule mpya, tumepewa nyavu badala ya samaki nasi tunaona tuendeleza kutoa nyavu badala ya kutoa samaki. Lengo letu kuu ni kukiandikisha kiwanda ndani ya muda mfupi ujao (nafasi muhimu za kazi zitakapojazwa) chini ya viwanda vidogo vidogo na pia kuwa ni sehemu ya mafunzo kwa vitendo (practical) yenye baraka za VETA.
Mashine zetu zina uwezo wa kutengeneza zaidi ya bidhaa 50 tofauti tofauti za ujenzi. Zote tutafundishana. Pia tutafundisha namna ya kuzitumia (kujengea) vifaa vitavyoundwa.
Pia kuna madarsa mapya ya shule ya chekechea na darasa la IT yanahitaji Walimu wazoefu.
Tunazingatia ubora wa hali ya juu daima.
Kuna fursa za kazi nyingi zinazohusiana na sekta ya ujenzi, kwa maelezo ya ziada wasiliana na Abdul Ghafur 0625249605, msimamizi wa Madrassatul Abraar.
Ahsanteni.