Fursa ya kupiga pesa kwenye zao la mpunga 2019/2020

Kwa ushauri wangu boss!! Subiria mchele wa morogoro hapo utaiona faida nzur!!! Kahama kule competition n kubwa inayosababisha bei kupaa!! Mimi pia nataka nianze na msimu kabsa huku stock yangu ikiwa imetulia ndani!

@YoungJigger
 
Morogoro /kilosa na Ifakara msimu wa kuvuna bei huwa ni tsh ngapi ?
 
Back
Top Bottom