Young rich nigga
Member
- Dec 29, 2017
- 74
- 104
- Thread starter
- #21
Mpunga au mchele mkuu?Mimi nipo Dsm. Ni busara kununua mpunga Kahama na kuja kuuza Dsm ?
@YoungJigger
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpunga au mchele mkuu?Mimi nipo Dsm. Ni busara kununua mpunga Kahama na kuja kuuza Dsm ?
mchele ?Mpunga au mchele mkuu?
@YoungJigger
Kwa ushauri wangu boss!! Subiria mchele wa morogoro hapo utaiona faida nzur!!! Kahama kule competition n kubwa inayosababisha bei kupaa!! Mimi pia nataka nianze na msimu kabsa huku stock yangu ikiwa imetulia ndani!mchele ?
Morogoro /kilosa na Ifakara msimu wa kuvuna bei huwa ni tsh ngapi ?Kwa ushauri wangu boss!! Subiria mchele wa morogoro hapo utaiona faida nzur!!! Kahama kule competition n kubwa inayosababisha bei kupaa!! Mimi pia nataka nianze na msimu kabsa huku stock yangu ikiwa imetulia ndani!
@YoungJigger
Msimu wa morogoro nistue mkuu 0693154420Kwa ushauri wangu boss!! Subiria mchele wa morogoro hapo utaiona faida nzur!!! Kahama kule competition n kubwa inayosababisha bei kupaa!! Mimi pia nataka nianze na msimu kabsa huku stock yangu ikiwa imetulia ndani!
@YoungJigger
Ata Aliko Dangote alianza na biashara ya nafaka.Katika historia biashara ya nafaka ndiyo ilianza kutengeneza matajiri.
Pia Mwanza wamevuna mnoo na musomaKahama huko wanavuna mpunga kama haijawahi tokea..Mchele mwingi sana ondoa shaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumapili ilianzia 1000-1500! Ila wa buku hautazamiki..hiyo ni Bei ya mashinenMorogoro /kilosa na Ifakara msimu wa kuvuna bei huwa ni tsh ngapi ?