Young rich nigga
Member
- Dec 29, 2017
- 74
- 104
Analysis yangu ya zao la mpunga kwa mkoa wa Morogoro iko hivi:
Kwamsimu huu wa 2019/2020 mvua zimenyesha nyingi mnoo na kusababisha baadhi ya wakulima kuchelewa kupanda mbegu mpaka hivi ninavyooandika hii comment bado kuna watu wapo na mbegu ndani.
[emoji117]Kwa element hii itasababisha zao la mpunga kwa mkoa wa Morogoro kuanza kwa bei ya juu kidogo tofaut na msimu wa 2018/2019 na kumalizia na bei ya juu zaid ya msimu uliopita.
Iko hivi...
[emoji117]Mvua zikiwa nyingi sana bei inapanda kwa kiasi
[emoji117]Mvua zikiwa constant bei itakua chini/normal coz mavuno yatakua mengi
[emoji117]Kukiwa na ukame LAZMA bei ipande kupindukia coz mavuno yatakua machache kutoka na wakulima kushindwa kupata mavuno yakutosha na waliopata bac n wale wa kilimo cha kumwagilia
,,,,,,,,Do What To Do,,,,,,,,
Kama una mtaji ni muda wa kwenda kununua stick ya mpunga na kusubiri bei kupanda then thank me later [emoji120]