Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

Mkuu me nina mchele mwingi mbeya, nataka kuja kuuzia dar kwa jumla. Sihitaji kuwa na fremu huko nataka niwe nauleta nakuuza moja kwa moja, Kama wanavofanya mabibo kwenye soko la viazi pale. Vipi kuna hilo soko la mchele hapo dar?
 
soko lipo sana inategema tu na ubora wake na bei. kama unataka kuuza kwa mfumo huo sokoni hawaruhusu inabidi uje uukabidhi kwa madalali wa pale sokoni uwaambie bei yako wao wanakuuzia. kama una mwingi sana njoo PM nikutafutie soko la uhakika nje ya masoko ya madalali
 
Mkuu me nina mchele mwingi mbeya, nataka kuja kuuzia dar kwa jumla. Sihitaji kuwa na fremu huko nataka niwe nauleta nakuuza moja kwa moja, Kama wanavofanya mabibo kwenye soko la viazi pale. Vipi kuna hilo soko la mchele hapo dar?
mkuu mchele una kiasi gan ambaoupo tayari sahv
 
Mkuu nitafutie center nzuri ya kuweka mashine ya kusaga na kukoboa mahindi kwa Dar es salaam...tutalipana
unataka eneo la size gani mkuu na bajeti yako ni kiasi gani. kuna ambalo limepatika barabara ya kinyerez katikati ya malalmba mwisho na mbezi
 
Mm nahitaji mifuko mitupu ile ambayo wanatoa sukar kwenye viwanda vya juice au soda
unahitaji kiasi gani mkuu? na unahitaji ile ambayo imeshatumika au mipya kabisa? ya kg kuanzia ngapi unataka.
 
Poa imepatikana ipo malamba mwisho karibu na Kituo cha bajaji mkuu
 
Ndo naanza uzalishaji hapa boss tunafanyaje ama nichek tuyajenge mkuu
 
Back
Top Bottom