Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Je naweza jiunga sasa kwa uwekezaji mdogo. Tafadhali nijulishe....
 
Uwekezaji mdogo wa 500,000 utaanza tena April 15 na utakuwa na grace period (muda wa matayarisho) ya mwezi mmoja au chini ya hapo.

Kila tukipata wawekezaji mapema ndiyo grace period (muda wa matayarisho) inapungua.

Karibu sana.
 
Shukran, nitafanya mawasiliano na Mzee
 
Dodoma tayari unaye wakala wa kusambaza super clay? Nataka kuwa wakala wako kwa hapa Dodoma
 
Uwekezaji mdogo wa 500,000 utaanza tena April 15 na utakuwa na grace period (muda wa matayarisho) ya mwezi mmoja au chini ya hapo.

Kila tukipata wawekezaji mapema ndiyo grace period (muda wa matayarisho) inapungua.

Karibu sana.
Nataka kuingia kwenye huu uwekezaji mdogo mkianza msiache kutu updates ili tutume pesa
 
Huwa tuna kawaida ya ku update waliojiunga kwa njia ya whatsapp kila stage. Na kazi zinapoanza kuingiza income huwa tunatuma "statement" kila malipo yanapofanyika kwa njia ya email.

Tunategemea huu uwekezaji mdogo utaanza tena tarehe 15-4-2017.

Asante.
 
Huwa tuna kawaida ya ku update waliojiunga kwa njia ya whatsapp kila stage. Na kazi zinapoanza kuingiza income huwa tunatuma "statement" kila malipo yanapofanyika kwa njia ya email.

Tunategemea huu uwekezaji mdogo utaanza tarehe 15-4-2017.

Asante.
So kwa sisi ambao ndo tunataka kujiunga tuanaruhusiwa kuingia kwenye hilo group lenu la WhatsApp ili tupate update mkianza tutume pesa? if yes then naomba uniunge kwa 0763772636 email pettymichael92@gmail. com
 
Dodoma na Tanga tayari unaye wakala wa kusambaza super clay? Nataka kuwa wakala wako kwa hapa Dodoma na Tanga

Itakuwa vizuri sana. Tulikuwa na Bi Rukia wa pale kwenye Zanzibar mix pale barabara ya saba kwa hapo Dodoma lakini ninaona kazi za mix zimembana sana.

Tanga hatuna uwakilishi kwa sasa.

Karibu sana. Unaweza kutupigia 0769302206 kwa maelezo zaidi.
 
So kwa sisi ambao ndo tunataka kujiunga tuanaruhusiwa kuingia kwenye hilo group lenu la WhatsApp ili tupate update mkianza tutume pesa? if yes then naomba uniunge kwa 0763772636 email pettymichael92@gmail. com

Hilo si group, huwa tunatuma PM kwa kila aliyejiunga.

Ni wazo zuri hilo la kuanzisha group, tutawasiliana na wengine wakiafiki basi tutafanya group.
 
Na mm naomba niungwe kwenye group hilo la uwekezaji kwa namba 0763500398(chotanorasko@gmail.com.com)
 
Hilo si group, huwa tunatuma PM kwa kila aliyewekeza kwenye miradi yetu.

Tukianzisha group tutawaunga, ni wazo zuri.
 
Hopeless guy.....utakufa masikini kama kawaida yenu...........
 
Mkuu Abdul nitakutafuta.......haya ndiyo mambo ya kuyafuatilia katika mitandao...achaneni na wapuuzi wanaopinga kila kitu....
 
Leo tuna furaha kuwajulisha kuwa tumeanza test production ya phase 3 A.

Phase 3B tunatarajia itaanza April au May kutegemea na mwenendo wa mvua.

Abdul

Vizuri sana.....ikimpendeza Mungu naweza kuwa sehemu ya uwekezaji wa Phase 3 B....Yote yanawezekana...time will tell
 
OK...50% inarudi ndani ya miezi mitatu-sita ,vipi kuhusu ile 50% nyingine?....na kwa hesabu zenu na uzoefu, je,nitakuwa napata kiasi gani kwa kila wiki????
 
Hilo si group, huwa tunatuma PM kwa kila aliyewekeza kwenye miradi yetu.

Tukianzisha group tutawaunga, ni wazo zuri.

Zainab, ili kuwe na ufanisi, itabidi uunde group mbalimbali za whasapp/Telegram...kulingana na uwekezaji husika au malengo husika....kuanzia wale ambao bado hawajawekeza lakini wana nia , waliowekeza, nk
 
Uwekezaji mdogo wa 500,000 utaanza tena April 15 na utakuwa na grace period (muda wa matayarisho) ya mwezi mmoja au chini ya hapo.

Kila tukipata wawekezaji mapema ndiyo grace period (muda wa matayarisho) inapungua.

Karibu sana.

kwa uwekezaji huu mdogo ,nitarajie kupata kiasi gani kwa wiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…