Biashara ya pesa ogopa sana, ina maneno matamu, utajiri unakuja mpaka usoni daaah..!
Na hata ukipigwa uhamini kama umepigwa kwa jinsi walivyo kunyenyekea na maneno matamu.
Ukiliangalia jina mume wangu, ushirikina upo, maneno matamu yapo na kudanganywa uku unaona kupo, kama vile mume kwa mke wake.
Ukienda kwenye hii biashara lazima ukawe mke, na mke lazima azae kwa maumivu.
Tafakali chukua hatua upo tayari kuzaa kwa maumivu?
Pesa pesa ogopa naneno yanayo husu pesa maana ni matamu na mwisho ni uchungu.