Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #41
Watu 20x500,000=10,000,000 kwa nn hiki kiasi hujaenda kuchukua bank?...hiyo riba / faida ya 1,000,000 ya kumlipa kila mwekezaji kwa mwaka= 20,000,000 kwa wk 52 haiwezi chukuliwa na bank. ukikopa 10,000,000 nafikir riba haitazid 5,000,000 kwa mwaka.Sio desi kwa sababu, kwanza kwa kuanzia hatuchukuwi wawekezaji zaidi ya 20. Pili, pesa ukilipa unapewa risiti na mkataba mdogo kuonesha kuwa tumezipokea na vipi utalipwa 20,000 kila wiki kwa wiki 52.
Miradi tunayowekeza ipo wazi, unaweza kuja kuiona.
Watu 20x500,000=10,000,000 kwa nn hiki kiasi hujaenda kuchukua bank?...hiyo riba / faida ya 1,000,000 ya kumlipa kila mwekezaji kwa mwaka= 20,000,000 kwa wk 52 haiwezi chukuliwa na bank. ukikopa 10,000,000 nafikir riba haitazid 5,000,000 kwa mwaka.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sikutegemea ili jibu toka kwa mtu mzima msomi na anayejieshim km wewe.... unapambwa sehemu nyingi saana humu kwenye forum... kuwa wewe ni jasiri.. mpinzani wa kujenga hoja na mkongwe kwenye social media... kwa hili jibu lako nitahakikisha jamii inatambua IQ yako na yale wasiyoyajua....Kijana elimu yako ni ya kusomea ujinga. Hebu jitulize kama unanyolewa, tuwache wenye kuwekeza tuwekeze. Unajuwa maana ya kuwekeza wewe?
Punguani wahed.
Vipi fursa bado ipo au imejaa??Katika wawekezaji 20 wa mwanzo tuliokuwa tunawahitaji tumeshapata 8 mpaka sasa, bado nafasi 12.
Wahi fursa ya kuwekeza.
In sha Allah uwekezaji utaanza 1/1/2017 na malipo ya mwanzo yatakuwa 8/1/2017.
Kama ni kweli hiyo ni minimum projected profit, why not upscale it by taking loan from bank? I mean the lower the interest,the higher the profit? Are you Saints? Lets say a loan of 10 M at an annual interest of 18% = 1.8 M,meaning 11.8 payable at the end of the year! Why opting to pay 20M which means 8.2M more? Will you please explain more on such scenario?Hapa hatuchukuwi wala kutowa riba. Kitu ambacho labda sijakiweka wazi, hiyo 100% kwa mwaka ni "minimum projected profit" iliyotokana na uzoefu tuliokwisha upata kwa muda wa mwaka mmoja sasa.
Kama ni kweli hiyo ni minimum projected profit, why not upscale it by taking loan from bank? I mean the lower the interest,the higher the profit? Are you Saints? Lets say a loan of 10 M at an annual interest of 18% = 1.8 M,meaning 11.8 payable at the end of the year! Why opting to pay 20M which means 8.2M more? Will you please explain more on such scenario?
Vipi fursa bado ipo au imejaa??
I got your point. In such case, now I believe you want to help people to fulfil your goals. That is a good idea, hoping to join could I not be far. Thanks.We do not want to deal with banks. We believe in profit sharing.
umewajibu sahihi mkuu .. huwez kuwekeza alaf baada ya mwaka huna chako tena .. huo ni utapeli .. bora museme kma tuwakopeshe hela na muturudishie kwa design hiyoHii ni sawa na kukukopesha kwa riba kwa sababu kama mwaka ukiisha na changu kimeisha hapo sio uwekezaji huo kwa sababu hela niliyotoa bado itakuwa inaendelea kuzalisha na ipo kwenye mzunguko wenu.
Hapo ni ujanja tu unaotumika bora muende bank mkakope ili muendeleze hiyo biashara yenu wewe na mume wako lakini hii ya kutaka kutumia lugha ya kuwekeza mtawapata wale wasiojua nini maana ya kuwekeza.
Wapiga Dili
[emoji54]Tunakukaribisha kwetu uje kuona miradi tunayoifanya. Biashara za halali kabisa, hapa tunataka kuongeza mitaji tu.
Siyo. Waelewe vizuri. Usicomment kitu usichokithibitisha,na usipende kuharibu vya wenzio. Mungu hapendi!umewajibu sahihi mkuu .. huwez kuwekeza alaf baada ya mwaka huna chako tena .. huo ni utapeli .. bora museme kma tuwakopeshe hela na muturudishie kwa design hiyo
Are you sure?Wapiga Dili
umewajibu sahihi mkuu .. huwez kuwekeza alaf baada ya mwaka huna chako tena .. huo ni utapeli .. bora museme kma tuwakopeshe hela na muturudishie kwa design hiyo
Hilo jina ni balaaa wewe mim nimezaliwa hapo mbona sikijui kabisa unapatikana wapi na maeneo gani kw a hapo na mim Niko hapo hapo