Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Katika wawekezaji 20 wa mwanzo tuliokuwa tunawahitaji tumeshapata 8 mpaka sasa, bado nafasi 12.

Wahi fursa ya kuwekeza.

In sha Allah uwekezaji utaanza 1/1/2017 na malipo ya mwanzo yatakuwa 8/1/2017.
 
Sio desi kwa sababu, kwanza kwa kuanzia hatuchukuwi wawekezaji zaidi ya 20. Pili, pesa ukilipa unapewa risiti na mkataba mdogo kuonesha kuwa tumezipokea na vipi utalipwa 20,000 kila wiki kwa wiki 52.

Miradi tunayowekeza ipo wazi, unaweza kuja kuiona.
Watu 20x500,000=10,000,000 kwa nn hiki kiasi hujaenda kuchukua bank?...hiyo riba / faida ya 1,000,000 ya kumlipa kila mwekezaji kwa mwaka= 20,000,000 kwa wk 52 haiwezi chukuliwa na bank. ukikopa 10,000,000 nafikir riba haitazid 5,000,000 kwa mwaka.
 
Hapa hatuchukuwi wala kutowa riba. Kitu ambacho labda sijakiweka wazi, hiyo 100% kwa mwaka ni "minimum projected profit" iliyotokana na uzoefu tuliokwisha upata kwa muda wa mwaka mmoja sasa.
 
Kijana elimu yako ni ya kusomea ujinga. Hebu jitulize kama unanyolewa, tuwache wenye kuwekeza tuwekeze. Unajuwa maana ya kuwekeza wewe?

Punguani wahed.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sikutegemea ili jibu toka kwa mtu mzima msomi na anayejieshim km wewe.... unapambwa sehemu nyingi saana humu kwenye forum... kuwa wewe ni jasiri.. mpinzani wa kujenga hoja na mkongwe kwenye social media... kwa hili jibu lako nitahakikisha jamii inatambua IQ yako na yale wasiyoyajua....

kulikuwa na haja gani ya kutukana tena unamtukana usiyemjua... ni sawa na kutusi jiwe..

usijivunjie eshima kwa kujibu sentesi fupI kwa insha ndefu...

Kama si mtu kahack account yako.. baasi ALLAH akusamehe buure... ni makruu au kuingiliwa na makata:: inna lilah....
 
Katika wawekezaji 20 wa mwanzo tuliokuwa tunawahitaji tumeshapata 8 mpaka sasa, bado nafasi 12.

Wahi fursa ya kuwekeza.

In sha Allah uwekezaji utaanza 1/1/2017 na malipo ya mwanzo yatakuwa 8/1/2017.
Vipi fursa bado ipo au imejaa??
 
Hapa hatuchukuwi wala kutowa riba. Kitu ambacho labda sijakiweka wazi, hiyo 100% kwa mwaka ni "minimum projected profit" iliyotokana na uzoefu tuliokwisha upata kwa muda wa mwaka mmoja sasa.
Kama ni kweli hiyo ni minimum projected profit, why not upscale it by taking loan from bank? I mean the lower the interest,the higher the profit? Are you Saints? Lets say a loan of 10 M at an annual interest of 18% = 1.8 M,meaning 11.8 payable at the end of the year! Why opting to pay 20M which means 8.2M more? Will you please explain more on such scenario?
 
We do not want to deal with banks. We believe in profit sharing.
 
Biashara gani ambayo uma uhakika kwamba ni risk free,tusije tukawa tunatumbukiza pesa zetu kwenye mtandao wa wauza poda
 
Hii ni sawa na kukukopesha kwa riba kwa sababu kama mwaka ukiisha na changu kimeisha hapo sio uwekezaji huo kwa sababu hela niliyotoa bado itakuwa inaendelea kuzalisha na ipo kwenye mzunguko wenu.

Hapo ni ujanja tu unaotumika bora muende bank mkakope ili muendeleze hiyo biashara yenu wewe na mume wako lakini hii ya kutaka kutumia lugha ya kuwekeza mtawapata wale wasiojua nini maana ya kuwekeza.
umewajibu sahihi mkuu .. huwez kuwekeza alaf baada ya mwaka huna chako tena .. huo ni utapeli .. bora museme kma tuwakopeshe hela na muturudishie kwa design hiyo
 
umewajibu sahihi mkuu .. huwez kuwekeza alaf baada ya mwaka huna chako tena .. huo ni utapeli .. bora museme kma tuwakopeshe hela na muturudishie kwa design hiyo
Siyo. Waelewe vizuri. Usicomment kitu usichokithibitisha,na usipende kuharibu vya wenzio. Mungu hapendi!
 
Hilo jina ni balaaa wewe mim nimezaliwa hapo mbona sikijui kabisa unapatikana wapi na maeneo gani kw a hapo na mim Niko hapo hapo
 
umewajibu sahihi mkuu .. huwez kuwekeza alaf baada ya mwaka huna chako tena .. huo ni utapeli .. bora museme kma tuwakopeshe hela na muturudishie kwa design hiyo

Miradi tunayowekeza ni ya muda mfupi (ipo pia ya muda mrefu, hii hatujashirikisha bado wawekezaji). Mfano, tunanunuwa eneo la kuchimba michanga ya kujengea, eka moja ya mchanga humalizika kwa mwezi mmoja.

Hatukuweka limit ya kuwekeza kwa mwaka mmoja kuwa ni basi, ila kila muwekezaji ana uhakika wa faida kwa mwaka mmoja na unaweza kuwekeza mwezi huu, mwezi ujao, mwakani.

Hatutaki kukopa, tunataka kugawana faida na wawekezaji ili tuwe na mahusiano ya kibiashara ya muda mrefu. Sehemu za kukopa tunazifahamu.

Kwanini tukufanyie utapeli? Tunakukaribisha uje kuiona miradi yetu inavyofanya kazi. Karibu sana.
 
Hilo jina ni balaaa wewe mim nimezaliwa hapo mbona sikijui kabisa unapatikana wapi na maeneo gani kw a hapo na mim Niko hapo hapo

Jina lipi na unaongelea kuhusu wapi?

Kama unaongelea kuhusu jina langu, kwanini limekuwa balaa tena?

Kama unaongeea kuzaliwa hapa Misugusugu, sisi si wazaliwa wa hapa, sisi tupo hapa toka mwaka 2011 tunapajenga kidogo kidogo na tumehamia rasmi mwaka jana mwezi wa 11, sasa hivi tupo hapa kwa mwaka mmoja na mwezi mmoja.

Karibu sana, namba zetu za simu ni 0625249605, ukifika shule ya msingi Misugususgu tupigie tutakuelekeza tulipo.

Tupo mtaa wa Vitendo njiani kama unaelekea Mleleguo, kilomita mbili kamili kutoka shule ya msingi Misugusugu.

Kukujulisha baadhi ya miradi ya muda mrefu (licha ya mifupi tunayoshirikisha wawekezaji) ambayo utaikuta ipo njiani kukamilika ni:

- Ukumbi wa cinema wa kukaa watu 100 ambao utakuwa wa kwanza wa aina yake Misugusugu.

- Frame za maduka 15 ambazo tunataraji zikikamilika kutakuwa na mini market ya kwanza Misugusugu.

- Sehemu ya michezo ya watoto, hatjauanza huu mradi lakini tumeweka sehemu ya kuuanzisha mara tu miradimiwili ya juu itakapokamilika.

Natarajia kuweka hapa picha za miradi yetu hivi karibuni.

Asante.
 
Back
Top Bottom