Huu ubaguzi wa umri huu hadi tuanze kuupigia kelele hii ni 'age bias' & 'age discrimination' kabisaMuombaji anatakiwa awe na umri usiozidi miaka 30
Ndio waache ubaguzi wa umri sio kitu kizuri kwani Biden ana umri gani na ni Rais wa wapi? Sasa kwanini wanabagua umri mwisho miaka 30?Mkuu ila zipo fursa zingine ambazo hazibagui umri
Ndio maisha mkuu maana kuna zingine huwa wanaweka above 30 au hata gender au dini fulani.Ndio waache ubaguzi wa umri sio kitu kizuri kwani Biden ana umri gani na ni Rais wa wapi? Sasa kwanini wanabagua umri mwisho miaka 30?
Hii programu ya fulbright ni ya vijana mkuuπππNdio waache ubaguzi wa umri sio kitu kizuri kwani Biden ana umri gani na ni Rais wa wapi? Sasa kwanini wanabagua umri mwisho miaka 30?
Ila hii discrimination sio nzuri kidogo below 30 kweli?Ndio maisha mkuu maana kuna zingine huwa wanaweka above 30 au hata gender au dini fulani. Hii haiwezi kwisha maana kila Job description lazma ibague watu flani ili kupata mtu sahihi
Wewe Si katoto ndio maana kwako ni 'neema'Habari njema.
Tuletee na hio ya wazee basiHii fursa imekuwepo toka miaka mingi iliyopita, labda hukuwa unaifahamu tu
Na ni fursa endelevu, share na watu wenye vigezo ili wachangamkie fursa
Umri umeenda binti yangu, miaka 50 si haba.Sanaaa
Changamkia fursa sasa