Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silabi na IrabuMambo ya linganisha na linganua
Kiswahili kina mambo ya kijinga sana, unafundishwa vingine unakuja kuulizwa vichekeshoKufundisha kiswahili ni rahisi sana alafu mtihani unawapa swali kuwa
Fasihi ni kuku mnyonyoe
Mkuu muombaji inambidi awe na umri wa chini ya miaka 30 mpaka kufikia tarehe 03 mayMkuu Jimena kwanza hongera mwa nia yako njema ya kuwasanua wanajamii juu ya fursa hii.
Lakini kwenye swala la umri naomba urekebishe. Nimepitia tena tangazo husika, haswa kwenye kipengele cha Eligibility Criteria, sijaona popote walipoweka kigezo cha umri chini ya miaka 30, nipo tayari kusahihishwa.
Kutoka huko, zifuatazo ni sifa za muombaji;
- Must be a citizen of the United Republic of Tanzania and reside in Tanzania throughout the application, nomination and selection process.
- Applicants must have a bachelor’s degree by June 2024 with a good academic record.
- Have a sincere interest in teaching Kiswahili and Tanzanian culture to students in the U.S.
- Are fluent in English, as demonstrated by a recent score of no less than 550 (Paper Based TOEFL), 79-80 (Internet Based TOEFL – IBT), or 6.0 (Overall Score International English Language Testing System – IELTS). TOEFL scores are not required at the time of application.
- Can work creatively and be self-reliant while being willing to work cooperatively as part of a team with faculty, staff and students.
- Are flexible and have a willingness to learn.
- Are adaptable to living in rural or urban areas.
- Clearly demonstrate maturity, dependability, integrity and professionalism.
- Do not hold U.S. citizenship; dual citizens are not eligible for the program participation.
- Letter of support from Employer, if employed.
- Written commitment to return and reside in Tanzania for at least two years upon completion of the program.
Leteni sasa na sisi tupateWazee wana nafasi zao wanazofit
MahondawHabari wana jamvi,
Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii basi utaenda kufundisha katika chuo kikuu,
Hii ni njia nzuri kwa wale wanaopenda kutoka nje ya Tanzania na kwenda kufanya kazi abroad. Sababu haihitaji connection wala msaada wa mtu.
Muombaji anatakiwa awe na umri usiozidi miaka 30 na awe na elimu ya kiwango cha degree (sio lazima iwe ya ualimu)
Mwisho wa kutuma maombi ni 03 May 2024
Link ya kuomba kujiunga na programu hii ni Foreign Language Teaching Assistant Program (FLTA)
Na unaemfundisha anaongea Kiswahili si ndio, basi sawa.Kufundisha kiswahili ni rahisi sana alafu mtihani unawapa swali kuwa
Fasihi ni kuku mnyonyoe
Umesoma ulichoandika lakini?Na unaemfundisha anaongea Kiswahili si ndio, basi sawa.
Itakuwa kaandika 'Mkweo' lakini nika-post mimi.Umesoma ulichoandika lakini?
😂😂Kufundisha kiswahili ni rahisi sana alafu mtihani unawapa swali kuwa
Fasihi ni kuku mnyonyoe