Fursa ya Mafunzo na EACOP

Fursa ya Mafunzo na EACOP

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Vijana wangu, nasikitika kwamba Sina sifa za kuhudhuria hii fursa, jitahidi saana kama una umri huo na vigezo tajwa hudhuria hii training.

Narudia, usiharibu bando yako kwinginee, tumia just hizo week kadhaa kufanya hizo training. Ningeruhusiwa ningehudhuria bahati mbaya umri umenitupa sana.

Tafadhali, kama unaona huna sifa, download share na wengine.

Haijalishi umesoma kozi Gani, just attend this training.

Remember, sharing is caring.
 
Attachments

Sijaifungua ila thanks in advance mkuu
 
Back
Top Bottom