Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #21
Naongea kutokana na uzoefu hiyo pesa kwa kuanzia inatosha hasa ukiamua kuchukuaHAITOSHI. Mtu mwenye 6m akupe hiyo hela umnunulie mzigo. Kwa hawa Bongo movie hata 5m inatosha kwasababu wakifika wanajiuza kwanza
Fulana
Sox
Chupi
Urembo
Chaja za simu
Saa
Cover za simu nknk
Hivi ni vitu vinavyouzwa kwa marundo na kwa kilo.. Mfano saa za mkononi saa 10 unauziwa Yuan 10 sawa na Tsh 3000.. Na huo mzigo wote unakuja nao kwenye mabegi yako yasiyozidi 20kg
Sent using Jamii Forums mobile app