Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Mshana Jr
hiyo paragraph ya mwisho.Unaweza nipa taarifa zaidi?

Nyongeza:
Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti
 
Nchi hii ina wazalendo wa kweli wachache sana.

Mtu kama Mshana Jr ni tunu na hazina kwa Taifa.

Hongera sana, awamu ya pili naomba utujuze ili nishiriki hiyo ziara.

Pia ndg Mshana Jr kama hautojali naomba unitumie PM link ya telegram na whatsapp ya makundi yako ili nami nipate wasaa wa kujifunza mengi.


Natanguliza shukrani.
 
Wewe demu una wivu sana sasa akiwapiga wewe kinakuhusu nini? Uwekee wivu uboo wa mumeo vingine achana navyo
Jomba mbona unashindwa kuwa mbunifu hata kwenye matusi? Halafu unavyosema "sasa akiwapiga kinakuhusu nini" ungeweza kunitamkia hivyohivyo kama tungekutana uso kwa uso? Mimi siwezi vumilia vijana kuvurugwa kwenye maisha yao kisa Mshana anataka hela za shortcut. Bahati nzuri kafanikiwa kupata vichwa viwili tu toka JF.
 
Asee
 
Wapi nimekutukana shida yako wewe unajifanya ni mjuaji mno kiasi kwamba eti mpaka unawaambia watu eti hiyo tour kama una mtaji wa milion 5 asiende wakati kila mmoja hapa ana namna yake ya kuishi na kutafuta pesa....unadhani mimi ni muoga kwamba tukikutana naweza kukuogopa? Njoo hapa mtwara mjini ulizia mnachihangu utaonyeshwa kwangu
 
Sio kwamba najifanya mjuaji ni KWELI NINAJUA. China na Dubai nimeenda sana. Hakuna utakachonidanganya kuhusu hizo sehemu 2. Tafuteni njia sahihi za kutafuta hela na sio kuremba maneno hapa. Halafu wewe fala elewa 5m ni hela kdg sana kwenda nayo hata hapo Kampala. Kama sio mimi kuwasanua mapema watu kibao wangeingia mkenge kwenye hii ishu.
 
Binti ndio maana nikakuambia kuwa upunguze ujuaji hivi unadhani hawa member waliopo humu unadhani wapo serious wa kutoa milion 5?waulize wanauoza biashara humu uone kama ni wangapi wamenunua kutoka humu
 
Unaweza kujua Dubai na china kwa kugoogle tu halafu ukaja hapa kudanganya kuwa umefika, ikiwa tu wewe ni mwanaume halafu humu unajifanya wewe ni mwanamke kwa kujiita mama samia ndio tuje tuamini maneno yako?
 
Unaweza kujua Dubai na china kwa kugoogle tu halafu ukaja hapa kudanganya kuwa umefika, ikiwa tu wewe ni mwanaume halafu humu unajifanya wewe ni mwanamke kwa kujiita mama samia ndio tuje tuamini maneno yako?
Sio lazima uamini kuwa nimefika huku na sio jukumu langu kukuthibitishia. Cha muhimu hapa ninapinga huu upuuzi wa kuwadanganya watu na kuwaingiza kwenye matatizo yasiyo ya lazima.. kuhusu ID yangu hutaweza kuielewa kama akili zako ni ndogo.
 
Binti ndio maana nikakuambia kuwa upunguze ujuaji hivi unadhani hawa member waliopo humu unadhani wapo serious wa kutoa milion 5?waulize wanauoza biashara humu uone kama ni wangapi wamenunua kutoka humu
Wewe malaya wa karne bora ungekaa tu kimya.
 
My Bro Mshana endelea unajua tena kina sisi kila kitu kukosoa tu na kujifanya tunajua kila kitu. Mwenye nia ya dhati atafanya na hawa wababaishaji achana nao. Hongera kaka wajasiliamali tumekuelewa.
 
nimependa philosophy yako ya kutaka mpambanajh na sio kigezo mama kuwa ni auaminifu,ntakusaka ndugu tuyajenge
 
tyre za kampuni gani?
 
Safi sana mkuu, vipi mwaka huu kuna fursa kama hii tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…