Fursa ya uwakala wa mauzo kampuni ya M-GAS

Fursa ya uwakala wa mauzo kampuni ya M-GAS

Sendaro

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
58
Reaction score
28
Baada ya kutangaza nafasi za uakala wa mauzo ya kuuza majiko ya gesi ya kampuni ya M Gas tumepokea simu nyingi kila mmoja akitaka kuijuinga.

Tumeona tuweke sawa hapa ili kama hauna kigezo au kuelewa utaratibu usihangaike kupiga simu.

SIFA ZA WATU TUNAOHITAJI
  1. Mtanzania
  2. Umri kuanzia miaka 18
  3. Uwe mkazi wa Dsm (Kipaumbele kwa wakazi wa maeneo ya Kigogo, Mburahati, Manzese, Magomeni, Mabibo, Tandale na maneo ya karibu)
  4. Elimu kuanzia kidato cha pili
  5. Timamu wa mwili na akili
  6. Umiliki smart phone
MALIPO
  • Malipo yanafanyika kwa mfumo wa commission, yani unalipwa kwa jinsi unavyofanya mauzo.
NB:
Kama huna mojawapo ya hizo sifa usiombe.
Kama huko tayari kulipwa kwa commission usiombe

MAOMBI
  • Kwa sasa ili kupata nafasi hizi usipige simu bali tuma taarifa zako MAJINA KAMILI, NAMBA YA SIMU, UMRI NA MTAA UNAPOISHI NDANI YA DSM Kwenye namba 0683977897.
  • Ni vyema ukatuma taarifa yako kati ya leo mpaka Ijumaa jioni (9/12/2022) kwa ajili ya kuchakatwa na kuitwa Jumamosi.
 
Back
Top Bottom