Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Habari za asubuhi waku, Niende moja kwa moja kwenye hoja.
Tuna mradi wa ubunifu wa kufuga wadudu kwa lengo la kubadilisha taka hai kuwa bidhaa zenye thamani kama mbolea na chakula cha mifugo. Mpango wetu ni kupanua shughuli hizi kwenye moja ya dampo kubwa na la kisasa nchini, ambapo tunalenga kuchakata tani za kutosha za taka kila siku na baadaye kuongeza uwezo zaidi.
Hadi sasa, tumepata vibali vyote muhimu. Sasa tunatafuta wawekezaji au washirika wa kifedha kusaidia kufanikisha hatua hii. Kama una nia ya kuwekeza au kushirikiana nasi katika mradi huu wa kipekee wenye manufaa ya kiuchumi, kimazingira na kijamii, tafadhali tuwasiliane PM kwa undani zaidi. Natanguliza shukrani