Fursa ya Uwekezaji kwenye Biashara ya Samani (Furniture) - Dodoma

Fursa ya Uwekezaji kwenye Biashara ya Samani (Furniture) - Dodoma

Jerry pro

Member
Joined
Oct 14, 2023
Posts
8
Reaction score
6
Habari wana JamiiForums,

Mimi ni fundi mbobevu wa samani (furniture maker) na mwanzilishi wa chapa ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya samani bora jijini Dodoma.

Nina uwezo na utaalamu wa kutengeneza samani za kisasa zenye viwango vya hali ya juu. Natafuta mtu mwenye nia ya kuwekeza ili tuweze kupanua wigo wa uzalishaji.

Kama uko tayari au una shauku ya kuwekeza kwenye sekta hii, tafadhali tuwasiliane kwa namba: +255625026714.

IMG_7352.jpeg

IMG_7355.jpeg
 
Back
Top Bottom