Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 88
- 89
Hello,
Katika mizunguko yangu mikoani nimefika eneo nikakuta changamoto ya kutengeneza mageti na vifaa vingine vyote vinavohusiana na kuchomelea vyuma,
Shida ni kwamba sijawahi kuwa engaged na kuwa na ofisi kama hiyo ila kwa sasa natamani sana niwe nayo na sitaki nisite wala kungoja,
Kwa wazoefu na wataalamu wa kazi hizi za welding natamani nipate elimu na mwongozo kuhusu ofisi ya welding katika mifumo ifuatayo,!!
1, nawalipa vipi wale vijana watakaokua wanafanya kazi katika ofisi yangu,
2, ni muda na wakati gani au katika mazingira gani napata faida,
3, ntatumia mbinu gani kupata wateja wapya?,
4, vipi utumiaji wa umeme na vifaa!
NATANGULIZA SHUKRANI