Fursa za biashara Bukoba mtaji million 5

Fursa za biashara Bukoba mtaji million 5

Habari Wana JF
Naomba kwa mtuu anae ifahamu Bukoba anipe abc za fursa za kibiashara Nina mtaji wa million 5 nanimgeni katika mkoa huo 🙏
Fanya biashara ya samaki ila usiwekeze majini inalipa au nunua bondo peleka viwandani. Usipende urafiki na wahaya hawapendi mafanikio ya watu walio wengi wao.
 
Naskia maharage kuanzia Runzewe, biharamlo na ngara yanapatikana sana, ambapo ni jirani na BK Fanya tafiti ya soko mikoani. Pengine unaweza pata Moja mbili zikakusaidia.
 
Back
Top Bottom