Fursa za biashara Kenya

Acha kua mjinga , Pakistan exports a lot of rice here and it's very popular than any brand hadi umepewa jina Pakistan.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Pia Ruvuma, Katavi na Kigoma wanalima sana mchele kule ila wao mwingi unaenda DRC na Burundi
 
Sijasema hamzalishi na Wala haimaanishi mkizalisha wote mnauleta hapa, kenya imports 70% of the deficit from Pakistan and it's very cheaper than any other rice.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Huu mchele wote unatoka Toka Tanzania, onyesha wapi huu mchele unatoka zaidi ya Tanzania. Tafadhali weka link kyonyesha zaidi ya Tanzania, ni nchi gani tena "is the major source of rice consumed in Kenya".
 
Watu huku sana wanacheza na upepo
Wana cheza vip na upepo ? Kiukweli mlaji hunufaika zaidi pindi anapo fika sokoni na kukuta bidhaa moja anaipata kwa gharama tofauti kulingana na ubora ila ss mkulima ndio ana umia zaidi kiukwel Tz tuna jivunia sifa tu za kuzalisha mazao ila hali ya wazalishaj wenyewe ss ni. Worse. (Hili halina ubishi)
 
Ilo ni swala la mpishi Tu ! Kuna staili ya upishi wa wali na ubwabwa (bokoboko) hata upewe mchele wa toka taiwan au thailand kama hujui ufundi wa upishi la wali utatoa tu Bokoko. (Argument yangu ni wazi wakenya mnafaida saana mnapata pindi mnapata uhakika wa upatikanaj wa mazao mbali mbalitena kulingana na kipato cha mwananchi )
 
Huu mchele wote unatoka Toka Tanzania, onyesha wapi huu mchele unatoka zaidi ya Tanzania. Tafadhali weka link kyonyesha zaidi ya Tanzania, ni nchi gani tena "is the major source of rice consumed in Kenya".
You seem to lack content, how can you export what you don't have? In fact you import from Pakistan,ndio maana nikasema your export here in Ile tu normal business in the spirit of East Africa lakini haimaanishi you have surplus.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania doesn't produce much rice as you are told,wakiuza mchele hapa kenya haimaanishi Wana surplusView attachment 1503460

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Tunawauzia mchele mwingi tu na wala sio ninyi peke yenu

Wakenya huwa mnafikiri kwamba ninyi tu ndio soko la mazao ya Tanzania kitu ambacho ni kujiaminisha kwenye hamna, Tanzania tuna majirani 8 na wote tunaewalisha ni sisi.

Tena SADC nchi karibu zote tunazihudumia.
 
Sasa Kama mnaexport 84000 tons hio Ina translate into 90 % of the rice consumed here? For your information kenya consumes 600000 tons of rice annually na ndio nimekuambia most of imported rice comes from Pakistan, kenya imports 200000 tons of rice from Pakistan.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania doesn't produce much rice as you are told,wakiuza mchele hapa kenya haimaanishi Wana surplusView attachment 1503460

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Wacha ushamba wewe, Tanzania zaidi ya sukari na ngano hakuna Chakula kingine tunaagiza, unachanganyikiwa wewe, iweje Kenya Rwanda, Uganda, DRC, Zambia, Malawi, Mozambique wote wananunua mchele toka Tanzania kama hatuna mchele wa kutosha?, kwanini ninyi Kenya msinunue mcheke toka huko Pakistan badala yake mnanunua toka Tanzania?, data za 2016 unazileta Leo, huo mwaka tulikua na upungufu wa mcheke kutokana na upungufu wa mvua.
 
Mchele mwingi zaidi unaingia Kenya kwa njia za chocho, usifikiri kuna exact statistics zinazoonesha kiasi halisi cha mazao yanayoingia kwenu kutokea nchi jirani na ndio maana kuna panya roads nyingi na smuggling mipakani ni order
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…