Fursa za biashara Kenya

Fake news hiyo kwanza hata sio media ya Tanzania,

Leta gazeti la Kiswahili sio hao wanao source mitandaoni bila official data kutoka kwa wizara

Bandarini mchele hauingii na wala mchele sio sukari.
 
2016 Tanzania haikukua Tanzania Leo ndio imekua Tanzania ,tumia akili sio kutetea visivyotetewa . look at the date and stop quoting me with your cheap argument.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Fake news hiyo kwanza hata sio media ya Tanzania,

Leta gazeti la Kiswahili sio hao wanao source mitandaoni bila official data kutoka kwa wizara

Bandarini mchele hauingii na wala mchele sio sukari.
Which Tanzanian media do you want,do you even have a formidable media to give you trusted news or data?.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Which Tanzanian media do you want,do you even have a formidable media to give you trusted news or data?.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
2016 Tanzania haikukua Tanzania Leo ndio imekua Tanzania ,tumia akili sio kutetea visivyotetewa . look at the date and stop quoting me with your cheap argument.View attachment 1503478

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Leta quoted data form officials bila hivyo huu ni udaku kama udaku mwingine
 
Wacha ujinga wewe, Michele, mahindi na mazao mengine ni mazao yanayochukua miezi minne tu, kwahiyo ndani ya mwaka mmoja kila kitu kinabadilika.

Jiulize kwanini ninyi Kenya na nchi zingine zote mnategemea Tanzania kwa Michele?. Nimekuuliza unitajie nchi moja ambayo ndio Kenya, Rwanda, Uganda, Zambia na DRC zinategemea kwa ajili ya mchele zaidi ya Tanzania, kwanini hujibu?
 
Hahaha!!mchele gani huo first grade wa tanzania[emoji23][emoji23]
Misifa mingine bana, yani niache pishori nikanunue kituko ambacho hata sijui kikipikwa kinatokaje..
Manake pishori ukipikwa unaweza hata udondoa kwnye sahani kw mara ya pili tena
 
Lol too lazy to understand that these are just packages, Michele hii yote 90% imetolewa Tanzania

Sasa unafikiri Tanzania ndio hatupack hivi au?
Ushahidi please[emoji23][emoji23],
Tanzania siku hizi mko na biriani au pakistan
 
Plastic fish wanauzwa Hadi US iwe tu rice?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Ndipo mnapo fail hapo wa kenya yaan hamuwezi kujiwekea standard zeny kama nchi lzm mjifananishe na developed country ... Ss ata kama Us wapo itakuwa kwa matumiz mengine sio kama mahitaj ya developing country like kenya nchi ambayo fooe security ni shida mnoo kama mtu anadiriki kupika mawe ss we unahisi akiona huo mchele wa plasticc kwann asifikiriee kuupika ? Anaupika kukidhi njaa lkn je ni sahihi huo mchele ni kwaajiki ya matumiz ya binadamu hasa raia mkenya ?
 
Sasa unabisha, huku ukiuza au upike mchele wa kushikana hotwli watu wanasepa...
Sijui hko kwenu
Mwanzoni nlikuwa nadhani ww komora ni mwanaume ila kwa komenti hii unayajua mapishi hivi dah.
 
Leta quoted data form officials bila hivyo huu ni udaku kama udaku mwingine
Mimi sipo hapa kutetea jubilee au mtu yeyote yule Kama nchi tunamapungufu yetu Wala sifanyi kazi ya usabasi maana sitegemei kulipwa buku Saba mwisho wa kwisha Kama wewe maana upo tayari kusema lolote maana utalipwa buku Saba.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…