Cephas Saphiel
Member
- May 25, 2009
- 32
- 16
Kuhusu wenyeji nadhani mkuu katanguliza na accomodation cost pale ,very fair and convinient kwa kweli huhitaji host labda kama unataka kutengeneza mazingira ya kutapeliwa. fika pale ,tafuta boda boada piga one day survey ,kusanya zigo ,pack safirisha kupitia contacs za mawakala alizoachia mleta uzi(baadaya ya kuwa contact kabla ya kuanza safari ya kuelekea huko)Hawa jamaa uliotuwekea mawasiliano yao wanaweza kutupa maelekezo zaidi?
Mfano mm sipajui huko, siku nikienda wanaweza kuwa wenyeji wangu kule? Au inanibidi nitafute rafiki wakunihifadhi nifikapo kule. Je vipi kuhusu ubaguzi huko kwao, wanajali wateja kutoka nchi zetu?
Vp kuhusu suala la usalama?
Nashukuru sana mkuu. Naomba kukuuliza kuhusu muda au timing ya masoko. Je huwa kuna muda maalumu wa kupata bei nafuu ya bidhaa fulani? na kama upo muda maalumu ni lini na kwa bidhaa gani? Je visa ni bei gani? Nashukuru mkuu
Wadau naomba anaefanya biashara ya Thailand tuongozane nae mie naitaji kwenda kununua nguo toto kipindi hiki
YeahUu uzi mzuri subscribe
Inategemea na tarehe ya kusafiri mkuu, mara nyingi Ethiopian Airline huwa wako cheap zaidi, return ticket ni around 1200USD, economy. (ingia kwenye website yao uwe kama unafanya booking ya tarehe unayopenda kusafiri utaona bei).
Mhhh
Vipi cataliya kulikoni?
Luna watu mkuu wataka spoon fiddling!..anataka ataftiwe hadi dem wa kuvinjari naye Bangkok!Mwishowe utataka utafutiwe na Viza Ukatiwe ticket Ukahifadhiwe bangkok na fremu ya kuuzia tz utafutiwe, Tumia akili kidogo uliojaliwa na mungu!
- Andiko lako limekuwa fupi sana.Za asubuhi leo naombeni mnifunze juu ya masoko ya china na thailand
Sent from my iPhone using JamiiForums