Fursa za biashara nchi ya Thailand

Fursa za biashara nchi ya Thailand

Nashukuru sana mkuu. Naomba kukuuliza kuhusu muda au timing ya masoko. Je huwa kuna muda maalumu wa kupata bei nafuu ya bidhaa fulani? na kama upo muda maalumu ni lini na kwa bidhaa gani? Je visa ni bei gani? Nashukuru mkuu
 
Hawa jamaa uliotuwekea mawasiliano yao wanaweza kutupa maelekezo zaidi?
Mfano mm sipajui huko, siku nikienda wanaweza kuwa wenyeji wangu kule? Au inanibidi nitafute rafiki wakunihifadhi nifikapo kule. Je vipi kuhusu ubaguzi huko kwao, wanajali wateja kutoka nchi zetu?
Vp kuhusu suala la usalama?
Kuhusu wenyeji nadhani mkuu katanguliza na accomodation cost pale ,very fair and convinient kwa kweli huhitaji host labda kama unataka kutengeneza mazingira ya kutapeliwa. fika pale ,tafuta boda boada piga one day survey ,kusanya zigo ,pack safirisha kupitia contacs za mawakala alizoachia mleta uzi(baadaya ya kuwa contact kabla ya kuanza safari ya kuelekea huko)
Kwa usalama thai kwa kawaida tu ila wale "ndole-man" kule wako juuwanakuchomolea walet huhisi kitu,na changudoa super hot! hadi wale wa kujibadilisha jinsia yaani ukitaka raha za kishetani jitupe maeneo ya phuket utarudi home kwa taabu sana!
 
Nashukuru sana mkuu. Naomba kukuuliza kuhusu muda au timing ya masoko. Je huwa kuna muda maalumu wa kupata bei nafuu ya bidhaa fulani? na kama upo muda maalumu ni lini na kwa bidhaa gani? Je visa ni bei gani? Nashukuru mkuu

Angalia page ya 16 nimetoa namba za simu na email za ubalozi wao,pia na sehemu utaona kila kitu utawasiliano nao.Muda wa Kwenda ni wewe tu biashara ni siku zote iko sawa
 
Wadau naomba anaefanya biashara ya Thailand tuongozane nae mie naitaji kwenda kununua nguo toto kipindi hiki

watakuja usijali,mi nafikiria niende wa 12 au wa kwanza 2016 lakin kutembea na shopping za kawaida tu
 
wa mjini
Please nijulishe lini wataka kwenda mkuu
Mimi nitakua available from 23 May ,kama uko tayari nijulishe mikakati tujipange
 
Last edited by a moderator:
Hatari za majukumu wapendwa?
Vipi mrejesho watu mlitoboa?
Maana kimya 2017 now
Mleta Mada alifanya juhudi sana kuleta madini hapa
Ebu mliobahatika kwenda tupeni mrejesho
 
Mkuu money stuma nasikia Thailand kuna Soko zuri la korosho ghafi vipi ni kweli? Na je una idea yeyote ya hii kitu kule? Naweza pataje kampuni za Thailand zitazohitaji korosho ghafi au mazao mengine toka Kwetu yenye hutaji kule Thailand?
 
Inategemea na tarehe ya kusafiri mkuu, mara nyingi Ethiopian Airline huwa wako cheap zaidi, return ticket ni around 1200USD, economy. (ingia kwenye website yao uwe kama unafanya booking ya tarehe unayopenda kusafiri utaona bei).

Mhhh
 
Mwishowe utataka utafutiwe na Viza Ukatiwe ticket Ukahifadhiwe bangkok na fremu ya kuuzia tz utafutiwe, Tumia akili kidogo uliojaliwa na mungu!
Luna watu mkuu wataka spoon fiddling!..anataka ataftiwe hadi dem wa kuvinjari naye Bangkok!
 
Za asubuhi leo naombeni mnifunze juu ya masoko ya china na thailand


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom