Fursa za biashara nchi ya Thailand

Asante Money Stunna, vipi kuna upatikanaji wa redio za magari yaani kwa kifupi car music systems like speakers,subwoofer, amplifers etc na vip bei zake?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Money Stunna,
Unaweza kunisadia kupata printing company moja huko wanaoweza kuniuzia carbonless papers? Tafadhali niulizie na unipe contact zao, hasa email na nk.
 
Mkishajipanga nijulisheni, naweza kuwafanyia mpango wa return tickets at 30% discount, shirika lolote la ndege mtakalochagua.
Unaweza nitajia nauli ya kwenda na kurudi ya shirika lolote la ndege ambalo wewe unaona ni zuri na la garama nafuu, nahitaji kujua ili niangalie salio langu kama linaruhusu nikafanye survey kwanza.
 
Haya ndiyo mawazo ya kujengana na ndiyo yanayotakiwa!!! asante sana, Tutalifanyia kazi
 
Unaweza nitajia nauli ya kwenda na kurudi ya shirika lolote la ndege ambalo wewe unaona ni zuri na la garama nafuu, nahitaji kujua ili niangalie salio langu kama linaruhusu nikafanye survey kwanza.

Fatilia comments zangu niliweka ma agents wa kukatisha tickets na namba zao za simu, website na email.

Nilitoa hizo namba sababu bei uwa inashuka na kuwa ya kawaida kutegemea na mwezi na aina ya ndege.
 
Unaweza nitajia nauli ya kwenda na kurudi ya shirika lolote la ndege ambalo wewe unaona ni zuri na la garama nafuu, nahitaji kujua ili niangalie salio langu kama linaruhusu nikafanye survey kwanza.

Inategemea na tarehe ya kusafiri mkuu, mara nyingi Ethiopian Airline huwa wako cheap zaidi, return ticket ni around 1200USD, economy. (ingia kwenye website yao uwe kama unafanya booking ya tarehe unayopenda kusafiri utaona bei).
 
Mkuu kwanza nakushukuru kwa taarifa ulio tupatia. Lakini pia kama unafununu ya vitu ambavyo tunaweza kutoa huku kwetu kupeleka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…