Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
Twendeni tuamshe amshe
Tupange, can we do as early as March?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twendeni tuamshe amshe
asante money stuna
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.
Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni Airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.
Mji wao mkuu ni Bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa Marekani zimetoka Bangkok Thailand, China na Korea.
Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.
Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.
Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.
Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.
Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.
Pia kuna market nyingine kama Prutunam market.
Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall
Kuna shopping mall kama Terminal 21 ,shopping mall mbk etc.
Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.
Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.
Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.
Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.
Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.
Kazi kwenu sasa
Nishaweka mkuu. Wasiliana nao
Mkuu Money Stunna,
Unaweza kunisadia kupata printing company moja huko wanaoweza kuniuzia carbonless papers? Tafadhali niulizie na unipe contact zao, hasa email na nk.[/QUOTE
awa ni wazuri wasiliana nao
Thung Hua Sinn company ltd
Tel +66 (0) 38989198
Fax +66 (0) 38989199
Email info@thsp.co.th
Unaweza nitajia nauli ya kwenda na kurudi ya shirika lolote la ndege ambalo wewe unaona ni zuri na la garama nafuu, nahitaji kujua ili niangalie salio langu kama linaruhusu nikafanye survey kwanza.Mkishajipanga nijulisheni, naweza kuwafanyia mpango wa return tickets at 30% discount, shirika lolote la ndege mtakalochagua.
Unaweza nitajia nauli ya kwenda na kurudi ya shirika lolote la ndege ambalo wewe unaona ni zuri na la garama nafuu, nahitaji kujua ili niangalie salio langu kama linaruhusu nikafanye survey kwanza.
Unaweza nitajia nauli ya kwenda na kurudi ya shirika lolote la ndege ambalo wewe unaona ni zuri na la garama nafuu, nahitaji kujua ili niangalie salio langu kama linaruhusu nikafanye survey kwanza.
Mkuu kwanza nakushukuru kwa taarifa ulio tupatia. Lakini pia kama unafununu ya vitu ambavyo tunaweza kutoa huku kwetu kupeleka huko.