Mimi naona ni muhimu watu wakijipanga kama team ili kuweza kufanya kitu cha maana. Kama hili wazo litakubalika napendekeza muanzisha mada uweke namba zako ili watu wakutane kupitia wewe tutengeneze team ya mafaniko.
I support the motion. Mm naamini kwenye umoja au synergy, siamini kwamba mmoja anajua kila kitu. Ninachoamini ni kwamba tunazidiana kwenye kuelewa mambo na resources pia so tukicombine strength na challenges zetu wote tunabenefit.
Kuna few guys niliwapm kucheck willingness zao, soon tutaenda kwenye next step and slowly but surely tutafika tunapohitaji kufika.
jamani na mimi tupopamoja naomba mni pm na mimi.
tuko pamoja mkuu usijali tutakucontact!
wakuu nami pia nahitaji contact kwa maana hizi ndizo biashara zetu
Mliotayari mkishaanza Mrejesho ni muhimu sana wakuu!
karibu sana etisalbi nitakupm khs hili then tutaproceed kadri mungu anavyotuwezesha!
Unarudi huko lini nduguKwa usafiri wa local ukiwa Bangkok tumia TAX METER kama route haina Train. Kumbukeni kubageini ni utamaduni wao so usipitishe price mara moja.
Tuko pamoja mkuu usijali tutakucontact!
Mkuu Dolevaby umesomeka sana japo ndio kwanza tuko kwenye utungaji wa mimba kama ingewa ni mtoto. Ila kwa kuwa tunaamini inawezekana then yatatimia muda c mrefu na ikishakuwa hivyo ni haki ya jukwaa hili kupewa mrejesho.
Unarudi huko lini ndugu
kwahiyo tatizo ni TRA...hawa jamaa wanarudisha nyuma sana wafanyabiashara.