Fursa za biashara nchi ya Thailand

Fursa za biashara nchi ya Thailand

Mimi naona ni muhimu watu wakijipanga kama team ili kuweza kufanya kitu cha maana. Kama hili wazo litakubalika napendekeza muanzisha mada uweke namba zako ili watu wakutane kupitia wewe tutengeneze team ya mafaniko.

I support the motion. Mm naamini kwenye umoja au synergy, siamini kwamba mmoja anajua kila kitu. Ninachoamini ni kwamba tunazidiana kwenye kuelewa mambo na resources pia so tukicombine strength na challenges zetu wote tunabenefit.

Kuna few guys niliwapm kucheck willingness zao, soon tutaenda kwenye next step and slowly but surely tutafika tunapohitaji kufika.
 
jamani na mimi tupopamoja naomba mni pm na mimi.
 
Mliotayari mkishaanza Mrejesho ni muhimu sana wakuu!

Mkuu Dolevaby umesomeka sana japo ndio kwanza tuko kwenye utungaji wa mimba kama ingewa ni mtoto. Ila kwa kuwa tunaamini inawezekana then yatatimia muda c mrefu na ikishakuwa hivyo ni haki ya jukwaa hili kupewa mrejesho.
 
Hii nakubaliana nayo asilimia mia moja...nlikua Bangkok for two weeks.. nlipitia night market kama ASIA TIQUE, huwez kuamini bei ya vitu huko. Ni nadra kukuta simu za nokia huko ni IPHONE kwa sana hata watoto wa primary wanatumia smart phone huwez amini but its true and cheap..You guys nawapa go ahead kwenye hii fursa.
 
Kwa usafiri wa local ukiwa Bangkok tumia TAX METER kama route haina Train. Kumbukeni kubageini ni utamaduni wao so usipitishe price mara moja.
 
Mkuu Dolevaby umesomeka sana japo ndio kwanza tuko kwenye utungaji wa mimba kama ingewa ni mtoto. Ila kwa kuwa tunaamini inawezekana then yatatimia muda c mrefu na ikishakuwa hivyo ni haki ya jukwaa hili kupewa mrejesho.

Mkuu litakuwa ni Jambo jema sana! Itasaidia kushawishi wengine wenye Taarifa muhimu km alizotoa ndg Maney! nao kuweka za kwao! pia itasaidia kujua uhalisia wakilichajadiliwa na uhalisia hata km kutakuwa na utofauti kdg ya Maelezo lkn itawaimarisha wa2
 
kwahiyo tatizo ni TRA...hawa jamaa wanarudisha nyuma sana wafanyabiashara.

Hii ni changamoto kubwa sana nchini kwetu kwani kuna watu humu nchini wanafurahi sana kukomoa mtu maskini mfano hao TRA,TFDA,TBS na wengine kama hao
 
Inaonekana hawa jamaa wa TRA wamekuwa tatizo imepelekea hata waagizaji Magari wengine kutumia Bandari ya Mombasa! Naomba niulize nikiwa na Begi langu nimejaza NGUO or VIATU nikishukia JOMOKENYATA itakuwaje? Kwaanajua ikiwa cvyema kuniwekea ushauri huo hadharani basi PM inahucka,,,!
 
Bobby tafadhali ni pm namba yako ili tuongee haya mambo ya maendeleo kiufasaha
 
Back
Top Bottom