Mimi naona ni muhimu watu wakijipanga kama team ili kuweza kufanya kitu cha maana. Kama hili wazo litakubalika napendekeza muanzisha mada uweke namba zako ili watu wakutane kupitia wewe tutengeneze team ya mafaniko.
I support the motion. Mm naamini kwenye umoja au synergy, siamini kwamba mmoja anajua kila kitu. Ninachoamini ni kwamba tunazidiana kwenye kuelewa mambo na resources pia so tukicombine strength na challenges zetu wote tunabenefit.
Kuna few guys niliwapm kucheck willingness zao, soon tutaenda kwenye next step and slowly but surely tutafika tunapohitaji kufika.