Fursa za biashara nchi ya Thailand

Fursa za biashara nchi ya Thailand

kwa kuanzia mtu anatakiwa awe na kiasi gn?
naomba unijibu ktk phone no. yng or whtsp 0772993820
 
Mkuu nami nahitaji kufahamu fursa za thailand ili nami nipate riziki....
Nimetuma namba yangu ktk inbox yako hivi puinde...
 
kwa kuanzia mtu anatakiwa awe na kiasi gn?
naomba unijibu ktk phone no. yng or whtsp 0772993820

inategemea na biashara nilishazungumzia soma habari nzima mwanzo hadi mwisho usome na maswali waliyokuwa wanauliza watu
 
Nauli ya kwenda na kurudi ni sh.ngapi?na hela ya kulala hotel ya kiwango cha chini bei gani? Na chakula pia ili tujipange,pia ukiwa uko huko ukanunua laptop yako moja au mbili kwa matumizi yako binafsi ukija tz unazilipia?na laptop ya kiwango cha juu kabisa bei gani?
 
Mkuu kama bado upo thailand naomba niangalize Gyproc Gypsum Boards supplier. Mimi nataka kujaribu biashara hii ya jumla. Kuna mtu ameniambia kwamba zinatoka sana Thailand, lakini kwa hapa bongo kuna jamaa ameniambia kuna mtu ana exclusivity maana hakuna mwengine anaweza kuuza, kitu ambacho sidhani kama ni kweli.
 
Chunguza kwanza kabda hujaingia moja kwa moja,hapo Tz kuna mambo mengi sana hasa bandarini ambayo mwingine anawezaingiza kitu vizuri sana lakini kwa mwingine ikawa mbinde nikupe mfano mdogo tu,leo soko la saruji ya nje ni kubwa sana bongo na jamaa wanapata faida sana,mfuko mmoja wananunua kwa Tsh 3600 ushuru kontena wanatozwa 900,000/ mimi niliingiza langu mwaka jana nilijuta.Biashara kama hii usemayo ni nzuri sana lakini si kuangalia kiasi kidogo cha bei ya kununulia pia angalia na procedures za kuukomboa mzigo Port Dar.
 
Lucky kweli nimetazama na sio kwa undani sana bali kwa juu juu na najaribu kuendelea kuangalia. Nimesafiri sasa kuangalia zaidi. Kusema kweli urasimu mkubwa sana upo bandarini haijalishi mtaji wako ni kiasi gani. Nataka kufanya wholesale Hardware na nitakuwa na different business model kwamba yard yangu itakuwa nje ya city center na kusambaza direct kwa small hardware store. Tatizo kubwa ni urasimu bandarini, mfano vifaa vya umeme vya Sotronics kuna jamaa yeye ndio super dealer na kila anaeomba anabana.
 
ladyfurahia naomba kujua mmejipanga kwenda lini huko? ninategemea kupata kama 7M mwisho wa mwezi yaani baada ya masiku yasiyozidi kumi toka leo naomba unijulishe ili kama itawezekana tuondoke pamoja. Itatusaidia sana tusishangae na tutakuwa na confidence ugenini....
Mkuu Mathematician , ladyfurahia , charminglady na wengine .....siku zimekwisha sasa, mwezi wa kumi ndio huu. Mimi baada ya week mbili ntakuwepo Thailand. vipi mmefikia wapi? Nawatakia kila la kheri naimani mtafika na mtatoa mrejesho hapa.
 
Last edited by a moderator:
mkuu mambo ya kifedha hayakaa vizuri nikikaa vizuri nitaweza jiunga nanyi kwa hiyo safari kwani napenda sana
Mkuu Mathematician , ladyfurahia , charminglady na wengine .....siku zimekwisha sasa, mwezi wa kumi ndio huu. Mimi baada ya week mbili ntakuwepo Thailand. vipi mmefikia wapi? Nawatakia kila la kheri naimani mtafika na mtatoa mrejesho hapa.
 
Last edited by a moderator:
nawe pia nakutakia kila la kheri utupe feedback ya mambo yanayoendelea huko hususani kibiashara zaidi kwani ndo mpango mzima kuujua best
Sawa mkuu, Jitahidi tu wakati mwingine uende. Nakutakia kila la heri
 
kwa kuanzia mtu anatakiwa awe na kiasi gn?
naomba unijibu ktk phone no. yng or whtsp 0772993820

habari yko,samahani naomba niulize khs mada ya Money Stuna khs fursa za biashara Thailand.Ulipata habar zozote zenye kuleta kuleta ushawishi
 
Back
Top Bottom