CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
naona keshajibiwa hapo juu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kuanzia mtu anatakiwa awe na kiasi gn?
naomba unijibu ktk phone no. yng or whtsp 0772993820
Mkuu kama bado upo thailand naomba niangalize Gyproc Gypsum Boards supplier. Mimi nataka kujaribu biashara hii ya jumla. Kuna mtu ameniambia kwamba zinatoka sana Thailand, lakini kwa hapa bongo kuna jamaa ameniambia kuna mtu ana exclusivity maana hakuna mwengine anaweza kuuza, kitu ambacho sidhani kama ni kweli.
Chunguza kwanza kabda hujaingia moja kwa moja,hapo Tz kuna mambo mengi sana hasa bandarini ambayo mwingine anawezaingiza kitu vizuri sana lakini kwa mwingine ikawa mbinde nikupe mfano mdogo tu,leo soko la saruji ya nje ni kubwa sana bongo na jamaa wanapata faida sana,mfuko mmoja wananunua kwa Tsh 3600 ushuru kontena wanatozwa 900,000/ mimi niliingiza langu mwaka jana nilijuta.Biashara kama hii usemayo ni nzuri sana lakini si kuangalia kiasi kidogo cha bei ya kununulia pia angalia na procedures za kuukomboa mzigo Port Dar.
Mkuu Mathematician , ladyfurahia , charminglady na wengine .....siku zimekwisha sasa, mwezi wa kumi ndio huu. Mimi baada ya week mbili ntakuwepo Thailand. vipi mmefikia wapi? Nawatakia kila la kheri naimani mtafika na mtatoa mrejesho hapa.ladyfurahia naomba kujua mmejipanga kwenda lini huko? ninategemea kupata kama 7M mwisho wa mwezi yaani baada ya masiku yasiyozidi kumi toka leo naomba unijulishe ili kama itawezekana tuondoke pamoja. Itatusaidia sana tusishangae na tutakuwa na confidence ugenini....
Mkuu Mathematician , ladyfurahia , charminglady na wengine .....siku zimekwisha sasa, mwezi wa kumi ndio huu. Mimi baada ya week mbili ntakuwepo Thailand. vipi mmefikia wapi? Nawatakia kila la kheri naimani mtafika na mtatoa mrejesho hapa.
Sawa mkuu, Jitahidi tu wakati mwingine uende. Nakutakia kila la herimkuu mambo ya kifedha hayakaa vizuri nikikaa vizuri nitaweza jiunga nanyi kwa hiyo safari kwani napenda sana
Mkuu Mathematician , ladyfurahia , charminglady na wengine .....siku zimekwisha sasa, mwezi wa kumi ndio huu. Mimi baada ya week mbili ntakuwepo Thailand. vipi mmefikia wapi? Nawatakia kila la kheri naimani mtafika na mtatoa mrejesho hapa.
Sawa mkuu, Jitahidi tu wakati mwingine uende. Nakutakia kila la heri
kwa kuanzia mtu anatakiwa awe na kiasi gn?
naomba unijibu ktk phone no. yng or whtsp 0772993820