Fursa za biashara nchi ya Thailand

Fursa za biashara nchi ya Thailand

Watu wengi mnauliza kuhusu gharama .wenzetu Wanigeria,Wakenya ,Waganda etc wanafanikiwa kuleta mzigo kuliko sisi watanzania kwa sababu hii,

Sababu kubwa wanaungana ni gharama kama mtu mmoja kuleta kontena pekeyako sababu ata ilo kontena hautolijaza.

Ila gharama zinakuwa ndogo sana kama mkiungana watu mnaoleta mzigo pamoja mkajaza kontena .Gharama zitakuwa ndogo sana na mtapata faida.

Kikubwa kama mnataka kuleta kwa kontena mtafutane watu wenye nia moja mkutane na muungane gharama zitakuwa ndogo sana .Labda kama utataka kuleta kwa sanduku kwa ndege.

Wenzetu wamepiga hatua sababu ya kufanya hivyo na imewezesha ata wenye mtaji mdogo kujiinua na sababu wana mtaji mkubwa.

Bila kuungana labda kama una mtaji mkubwa.

charminglady ladyfurahia amu Kaunga,Mtanganyika na wengine wote
 
Last edited by a moderator:

Watu wakiwa serious wakiwauliza huko PM hamjibu wala hamtoi msaada Wa kina...

Watanzania bado Sana.
 
Last edited by a moderator:
chachandumbaya fanya hesabu mwenyewe si lazima kila kitu utafuniwe. Nauli+malazi+mzigo+kodi+mengineyo, kisha unakokotoa bei inayoweza kuuzika huku ili upate faida.
kwani ni lazima uende physically huko kufuata mzigo ?..si unaweza fany amanunuzi online na mzigo ukaja ?
 
asante kwa kunifungua macho ni kweli bila kuungana hatutaweza fanikiwa
hivyo itabidi tujadili na wadau wengine tuone tunafanyaje suala hili kwani umoja ni nguvu

Watu wengi mnauliza kuhusu gharama .wenzetu Wanigeria,Wakenya ,Waganda etc wanafanikiwa kuleta mzigo kuliko sisi watanzania kwa sababu hii,

Sababu kubwa wanaungana ni gharama kama mtu mmoja kuleta kontena pekeyako sababu ata ilo kontena hautolijaza.

Ila gharama zinakuwa ndogo sana kama mkiungana watu mnaoleta mzigo pamoja mkajaza kontena .Gharama zitakuwa ndogo sana na mtapata faida.

Kikubwa kama mnataka kuleta kwa kontena mtafutane watu wenye nia moja mkutane na muungane gharama zitakuwa ndogo sana .Labda kama utataka kuleta kwa sanduku kwa ndege.

Wenzetu wamepiga hatua sababu ya kufanya hivyo na imewezesha ata wenye mtaji mdogo kujiinua na sababu wana mtaji mkubwa.

Bila kuungana labda kama una mtaji mkubwa.

charminglady ladyfurahia amu Kaunga,Mtanganyika na wengine wote
 
Money Stuna, ahsante sana kwa kutoa fursa adimu kama hiii, naomba kuuliza swali la mwisho, vipi mambo ya uzazi, yanapatikana kirahisi? hasa kwa mi-afrika?
 
sijakuelewa unamanisha kutoa kizazi au uzazi wa mpango
 
Kati ya china na thailand wapi bora zaidi kwa biashara zetu hizi kilanguzi?
 
itabidi mwka huu tufanye kweli tuungane ili tuweze kufanya biashara na kuleta bidhaa zetu hapa ngoja niongee na hawa wadau tujipange ikifedha zaidi kwa msimu huu
Watu wengi mnauliza kuhusu gharama .wenzetu Wanigeria,Wakenya ,Waganda etc wanafanikiwa kuleta mzigo kuliko sisi watanzania kwa sababu hii,

Sababu kubwa wanaungana ni gharama kama mtu mmoja kuleta kontena pekeyako sababu ata ilo kontena hautolijaza.

Ila gharama zinakuwa ndogo sana kama mkiungana watu mnaoleta mzigo pamoja mkajaza kontena .Gharama zitakuwa ndogo sana na mtapata faida.

Kikubwa kama mnataka kuleta kwa kontena mtafutane watu wenye nia moja mkutane na muungane gharama zitakuwa ndogo sana .Labda kama utataka kuleta kwa sanduku kwa ndege.

Wenzetu wamepiga hatua sababu ya kufanya hivyo na imewezesha ata wenye mtaji mdogo kujiinua na sababu wana mtaji mkubwa.

Bila kuungana labda kama una mtaji mkubwa.

charminglady ladyfurahia amu Kaunga,Mtanganyika na wengine wote
 
Ukiwa tayari nitafute nikupe connections za kule nilizuru mwaka Jana October...

hawa waleta mada ni wapiga porojo tu hawana msaada wowote you can't believe ni diplomat flan ndo alinipa mchongo nikatimba....

ukiwa tayari usisite kunijulisha ntakusaidia.
Shukrani ya punda......!!!
 
Jambo mleta mada na wengin wote wenye mapenzi mema na kupenda kuona wengine wanafanikiwa.

Shukrani kwa muongozo. Nimepata taswira. Mm ndo kwanza nataka kuingia kwenye haya mambo. Kutumia uzi huu nimepata vitu vingi sana . Nimepitia michango yoote.

Naomba plse nikikwama popote niki m mp yeyote umu aswa mleta mada mnipatie ushirikiano.
 
sorry wakuu tuna ubalozi wetu huko Thailand? na may be mtaji kiasi gani unatosha kontena ndogo?
 
ninachojua ubalozi uko Nairobi Rose Avenue,

namba ya simu ni +254 20 291 9100

email thai@thainbi.or.ke

lakin Tz kuna ma agent wanaoweza kukutumia maonbi ya visa watafute namba hiyo na email.
 
Ukiwa tayari nitafute nikupe connections za kule nilizuru mwaka Jana October...

hawa waleta mada ni wapiga porojo tu hawana msaada wowote you can't believe ni diplomat flan ndo alinipa mchongo nikatimba....

ukiwa tayari usisite kunijulisha ntakusaidia.

sawa si wapiga porojo,wewe ungekuwa na nia njema ungeeleza hapa hapa lakin mambo ya kuitana pembeni ni kutaka kuwatapeli watu kama una njia njema waeleze umu umu
 
Back
Top Bottom