Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #301
Watu wengi mnauliza kuhusu gharama .wenzetu Wanigeria,Wakenya ,Waganda etc wanafanikiwa kuleta mzigo kuliko sisi watanzania kwa sababu hii,
Sababu kubwa wanaungana ni gharama kama mtu mmoja kuleta kontena pekeyako sababu ata ilo kontena hautolijaza.
Ila gharama zinakuwa ndogo sana kama mkiungana watu mnaoleta mzigo pamoja mkajaza kontena .Gharama zitakuwa ndogo sana na mtapata faida.
Kikubwa kama mnataka kuleta kwa kontena mtafutane watu wenye nia moja mkutane na muungane gharama zitakuwa ndogo sana .Labda kama utataka kuleta kwa sanduku kwa ndege.
Wenzetu wamepiga hatua sababu ya kufanya hivyo na imewezesha ata wenye mtaji mdogo kujiinua na sababu wana mtaji mkubwa.
Bila kuungana labda kama una mtaji mkubwa.
charminglady ladyfurahia amu Kaunga,Mtanganyika na wengine wote

Last edited by a moderator: