Fursa za biashara nchi ya Thailand

Fursa za biashara nchi ya Thailand

Mkuu kwanza nakushukuru kwa taarifa ulio tupatia. Lakini pia kama unafununu ya vitu ambavyo tunaweza kutoa huku kwetu kupeleka huko.

Kwa nchi za kiafrica kupeleka mzigo kule ni risk sana sababu mamlaka zao husika ziko makin sana ukituma kitu ambacho kiko chini ya kiwango hawatokubali.

Kutoa africa mzigo kupeleka thailand inabid kwanza uende wizara ya biashara ufatilie zaidi.

Pia cha kukushauri fanya utafiti kuhusu ngozi ya ng'ombe sababu kule kuna viwanda vingi vya viatu lakin bidhaa za chakula usijaribu vitazuiwa harafu utakula hasara
 
Kweli mkuu, ngozi anaweza kupeleka, sema inahitaji investment ya kutosha na uangalifu mkubwa kwa sababu wale sku hizi hawanunui kavu wananunua ngozi mbichi, hivyo unatakiwa kuwa na storage facility za maana.
 
Smile Money Stunna anakaa USA, labda tufuate ratiba yake; lkn kwa maelekezo nafikiri twaweza kwenda tu. Mimi nataka kuivaa hii fursa 100%. Twende pm kwa mipango zaidi, maana safari ya wawili si sawa na mmoja.

Naomba kuungana nanyi tukajishuhudie hii fursa jaman...ami na kaunga
 
Last edited by a moderator:
nchi ya thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.

Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.

Mji wao mkuu ni bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa marekani zimetoka bangkok thailand, china na korea.

Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.

Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.

Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.

Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.

Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.

Pia kuna market nyingine kama prutunam market.

Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall

kuna shopping mall kama terminal 21 ,shopping mall mbk etc.

Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.

Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.

Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.

Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.

Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.

Kazi kwenu sasa

asante sana mkuu.kama jf topic zote zingekuwa hivi basi tungekuwa mbali sana.naamini hasa vijana wanaopoteza muda mwingi kushabikia siasa na wanasiasa wangetumia fursa kama hizi tungekuwa mbali sana.yaani unashangaa kijana miaka 3 kabla ya uchaguz kazi yake ni kutoka povu nani awe rais na nani asiwe.lait angetumia muda huo kukamata fursa kama hizi naamini angekuwa mbali sana.thanx much money stunna kwa constructive idea kama hii.
 
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.

Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni Airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.

Mji wao mkuu ni Bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa Marekani zimetoka Bangkok Thailand, China na Korea.

Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.

Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.

Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.

Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.

Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.

Pia kuna market nyingine kama Prutunam market.

Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall

Kuna shopping mall kama Terminal 21 ,shopping mall mbk etc.

Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.

Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.

Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.

Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.

Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.

Kazi kwenu sasa

Pls weka contuct zako mkuu tuweze ku shere idea.
 
Mimi naona ni muhimu watu wakijipanga kama team ili kuweza kufanya kitu cha maana. Kama hili wazo litakubalika napendekeza muanzisha mada uweke namba zako ili watu wakutane kupitia wewe tutengeneze team ya mafaniko.
 
asante sana mkuu.kama jf
topic zote zingekuwa hivi basi tungekuwa mbali sana.naamini hasa vijana
wanaopoteza muda mwingi kushabikia siasa na wanasiasa wangetumia fursa
kama hizi tungekuwa mbali sana.yaani unashangaa kijana miaka 3 kabla ya
uchaguz kazi yake ni kutoka povu nani awe rais na nani asiwe.lait
angetumia muda huo kukamata fursa kama hizi naamini angekuwa mbali
sana.thanx much money stunna kwa constructive idea kama hii.

Chukua Like Mkuu! Vijana tuache kusumbuliwa na siasa zinazopotosha, maendeleo yetu yanaletwa na sisi wenyewe, huwezi kukaa umebweteka ukitegemea maendeleo yako yatatokea tu yenyewe, wewe ndie unaepaswa kuyasababisha kwa constructive ideas za kujikwamua na si majungu na matusi ya kijiweni. Mwanzisha thread umenifumbua macho and Im thinking so hard on how to pursue this great opportunity! Tutatafutana PM
 
kweli mkuu,tunapoteza muda mwingi katika ushabiki,hebu imagine mkuu,hivi nikipoteza muda wangu mwingi kumshabikia kiongozi flani eti anafaa kuwa raisi mwaka ujao,na kweli akawa,baada ya hapo hali yangu ya kiuchumi itabadilika?vijana wa kitanzania tunapotea sana,yaani hatujitambui kabisa
 
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.

Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni Airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.

Mji wao mkuu ni Bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa Marekani zimetoka Bangkok Thailand, China na Korea.

Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.

Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.

Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.

Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.

Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.

Pia kuna market nyingine kama Prutunam market.

Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall

Kuna shopping mall kama Terminal 21 ,shopping mall mbk etc.

Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.

Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.

Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.

Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.

Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.

Kazi kwenu sasa
NAOMBA NIFAAMISHWE MAMBO YAFUATAYO

1. TRA wanatumia utaratibu hupi katika kukotoa kodi ya bidhaa za nguo zinazo ingizwa nchini ( hii hitasaidia kuweza kujua kiwango cha kodi unachopaswa kulipa, mala niingizapo mzigo)

2. Hutaratibu unaotumika na hawa jamaa wa HSC katika uwakala wa mizigo, nimepitia tovuti yao ( HSC- Home Shopping Center Tanzania) sijapata taarifa zozote. Ninachotaka kujua je huko Thailand wana ofisi au inabidi niwasiliane nao kabla ya kuondoka
Kama kuna mtu alishawai fanya nao kazi naomba ashirikishe uzoefu wake.
 
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.

Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni Airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.

Mji wao mkuu ni Bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa Marekani zimetoka Bangkok Thailand, China na Korea.

Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.

Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.

Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.

Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.

Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.

Pia kuna market nyingine kama Prutunam market.

Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall

Kuna shopping mall kama Terminal 21 ,shopping mall mbk etc.

Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.

Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.

Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.

Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.

Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.

Kazi kwenu sasa

Wabongo wote wangekua na tabia kama yako... This country would have been a much better place. Wengi roho mbayaa na ubinafsi sanaa. Mkuu i really appreciate ur idea & information. I will work on this info. #Barikiwa Sanaa !!
 
Hizo bei alizosema $ stuna ni kweli kabisa..lakini nchi yetu ilivyo si kila mtu anawezafanya biashara hizi za ku IMPORT,mbali ya kusafiri,kununua na kutuma bidhaa kizingiti kikubwa kipo kwenye kodi,kodi zetu hazieleweki kabisa X akinunua bidhaa hii ushuru ni huu na Y akinunua bidhaa ileile ushuru ni tofauti kabisa,nikupe mfano kidogo kuna siku nilifunga container na kulisafirisha Tz,ndani kulikuwa na vitu mchanganyiko kulikuwa na baiskeli moja ya mtoto ambayo nilinunua $30 lakini Tra wali uplift na ktk hesabu zao wakasema ni $120 hivyo ushuru ukaja wa ajabu sana,ndio maana unaona watu wanashindwa kutoa vitu bandarini.Gharama ya kuingiza kijigari kidogo kama Vitz ya 2004 Nigeria ni $1200 Uganda wasio na bandari ni $1570 Tz ni almost $2000 mpaka kuiweka njiani!!!ndio maana leo watu wanatoka Tz kwenye bandari kwenda kununua bidhaa Rwanda/Uganda kusiko na bandari????Bidhaa nje ni rahisi lakini si kila mtu anawezafanya biz ya kuingiza bidhaa nchini.Kuna watu container la ft 20 lenye cement wanatoa ushuru wa 1.8ml maana mfuko mmoja wa cement Dubai ni Tsh 2500/mimi pia nilituma langu jamaa Tra wakanipiga 3.2ml..Wengine wanapitisha bidhaa port lakini wengine wakipitisha bidhaa zilezile basi TBS wanazichoma moto eti ni FAKE

Mkuu hyo cement unayo import kutoka dubai...ikifika hapa TZ unauzaje ??
 
kweli mkuu,tunapoteza muda
mwingi katika ushabiki,hebu imagine mkuu,hivi nikipoteza muda wangu
mwingi kumshabikia kiongozi flani eti anafaa kuwa raisi mwaka ujao,na
kweli akawa,baada ya hapo hali yangu ya kiuchumi itabadilika?vijana wa
kitanzania tunapotea sana,yaani hatujitambui kabisa

Ni Kupoteza muda Mkuu! Unakaa unatokwa povu kumshabikia mtu tu! Ni ushabiki wa kipuuzi!
 
Back
Top Bottom