dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Mkuu kama utataka kampani, mimi naenda kuanzia oct 28 mpaka nov3..ni mwenyeji kidogo huko.Mimi september Inshallah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama utataka kampani, mimi naenda kuanzia oct 28 mpaka nov3..ni mwenyeji kidogo huko.Mimi september Inshallah
Mkuu mimi ntakuwa huko otober 28 mpaka november 3. Tutafutane
Cousin.. Mir tangu nilipouona huu uzi nimeanza kuweka akiba kwenye kibubu na Mungu akipenda November naweza tia maguu hukoo!!
Hebu tuwasiliane kwa maelezo zaidi kama utapenda kwenda!!
Mkuu kama utataka kampani, mimi naenda kuanzia oct 28 mpaka nov3..ni mwenyeji kidogo huko.
Mkuu mkijiunganisha mpange tarehe kuanzia 28/10-3/11 sababu nina ticket na visa tayari ya hizo tarehekama wewe ni mwenyeji itakuwa ni vyema tukajiungamanisha wale tunaotaka kwenda huko november Mungu akipenda
Mkuu mkijiunganisha mpange tarehe kuanzia 28/10-3/11 sababu nina ticket na visa tayari ya hizo tarehe
Visa haina complication, ila Tanzania hakuna balozi ipo Nairobi. Mnaweza mkajipanga mkamtuma mmoja akaenda nairobi kuwagongea. Visa ni kama dola mia kwa single entry. Ticket sina hakika tokea dsm sababu mimi sitokei Tanzania(sianzii safari Tanzania) ila kama ukibook mapema means miezi hii itakugharimu USD 1,200 return ticket. (kwa ndege kama Kenya air ways, Ethiopia naTurkish air). Jipangeni wakuuOKY NGOJA NIWASILIANE NA charminglady NA WENGINEO TUONE INAKUWAJE
TUAMBIE KUHUSU VISA INAKUWAJE NA JE NAULI YA KWENDA HUKO NI BEI GANI?
Mkuu karibu..share hizo information hapo juu na ladyfurahiaNitakua mchoyo wa fadhila nisiposema kitu kwenye uzi huu. Hakika nimefunguka sana na nimeanza kufikiri kwa mapana zaidi. Nina kila kitu onhand; pesa, passport, vaccination card, fremu na wateja juu. Nilichokua nakosa ni taarifa sahihi tu: wenye roho zao za korosho walituaminisha unahitaji si chini ya 30m kwenda huko kumbe sio. Sasa najipanga wadau, nitawatafuta wale mnaojipanga kama mimi.
Juu ya yote shukrani sana Money Stuna, Dikembe na wengineo. Tunahitaji Watanzania wa aina hii.
Visa haina complication, ila Tanzania hakuna balozi ipo Nairobi. Mnaweza mkajipanga mkamtuma mmoja akaenda nairobi kuwagongea. Visa ni kama dola mia kwa single entry. Ticket sina hakika tokea dsm sababu mimi sitokei Tanzania(sianzii safari Tanzania) ila kama ukibook mapema means miezi hii itakugharimu USD 1,200 return ticket. (kwa ndege kama Kenya air ways, Ethiopia naTurkish air). Jipangeni wakuu
Mwenyeji kibiashara au uko masomoni?Mkuu kama utataka kampani, mimi naenda kuanzia oct 28 mpaka nov3..ni mwenyeji kidogo huko.
kama wewe ni mwenyeji itakuwa ni vyema tukajiungamanisha wale tunaotaka kwenda huko november Mungu akipenda
Kabisa mungu akipenda tutakuwa pamoja
Tuombe uzima.
Mkuu kama utataka kampani, mimi naenda kuanzia oct 28 mpaka nov3..ni mwenyeji kidogo huko.
Twende hongkong nitakulipia return ticket first class any fright
Au unasemaje mrembo?
Kha!!!!..ebu nituame
Watu wanazungumzia Thailand we unaleta habari za hongkong!!!
Si bure umevurugwa.
Msamehe bure! Sijui wake zetu watafanya biashara gani jamani? Wakitaka kwenda Thailand Lomborghin anawatafuta ngono! Wakuu hebu mwaache akinamama wafanye biashara jamani! Kama huna mke hebu oa uone gharama ya kutunza mke!!!