Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 327
- 109
mimi "dume" kaka 🙂Mkuu hala hala tu .....wengine wake zetu humu!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi "dume" kaka 🙂Mkuu hala hala tu .....wengine wake zetu humu!!!!
Yaani mkuu asante kwa kunisaidia maana kaniganda utafikiri ruba...
Mwanamke mwenye akili timamu wala hababaiki na kulipiwa ticket ya ndege
Ila nimemsahe huyu Lambornini cjuhi mi namuona
Ka chizi
he, huyu si mnaitana switi huyu, leo vipi unamkana?...lol!
Tulia mkuu, denti kapata bumu atakulipia first class.
Mkuu, kama kuna wake zenu si ndio vyema ili mnufaike wote na hii fursa au unataka singles tu ndio waende...Ondoa shaka ni jambo jema tu, hakuna baya nadhani hata makazini wanafanya kazi na wanaume pia.Mkuu hala hala tu .....wengine wake zetu humu!!!!
Hahahahahah. ..mkuu huyu kashindwa kuninulia viatu vya elfu 65 itakuwa ticket ya first class???
Mkuu, kama kuna wake zenu si ndio vyema ili mnufaike wote na hii fursa au unataka singles tu ndio waende...Ondoa shaka ni jambo jema tu, hakuna baya nadhani hata makazini wanafanya kazi na wanaume pia.
he, huyu si mnaitana switi huyu, leo vipi unamkana?...lol!
Tulia mkuu, denti kapata bumu atakulipia first class.
Mi sijashindwa na siwezi kushindwa Ila unanikwepa sana
Are u serious nikukatie ticket ya first class?
Ila tu ukubali masharti yangu
asante kunifahamisha nashukuru ngoja na wenzangu waone hapa njooni akina charminglady, Kaunga muone charge za ticket hapa
Jamani mimi nimechoka maneno, nataka vitendo sasa. Aliyetayari twende tujilipue. Nina uhakika tutatoka tu.
Niko tayari hata akipatikana mmoja. Huku uraiani kuna mdada aliniahidi ila mpaka leo kimya.
Big up stunna kwa mada yako ya manufaa, namuunga mkono pia bwana sengeon tukutana kama watu watatu au wanne walio serious tupange
mikakati ya kufanyia kazi swala hili[/
QUOTE]
Ni PM contacts zako tafadhali.
Mkuu asante sana kwa kutupa fursa hizo za Thai. Mbali na nguo, je kuna bidhaa gani huko ambazo bei ni poa?
Vipi kuhusu usafirishaji wa mizigo kutoka Bangkok kuja Dar?
Uko sahihi sana mkuu, ila tatizo serikali yetu haiamini kama tunaweza kumiliki viwanda kwani mfano mzuri uko kwenye ubinafsishaji. wanaona ni bora apewe muhindi kuliko mbongo. kwahiyo tutabaki kuwa dampo tu.Ingefaa kwa sasa kufikiria zaidi pia upatikanaji wa zana za kuanzishia viwanda badala ya hizi biashara za kununua na kuuza tu. Tujaribu zana za processing ndizo zilizofikisha wenzetu kuwa na viwanda vingienvyo tubaendelea kuwa dampo la ejected.
Jamani mimi nimechoka maneno, nataka vitendo sasa. Aliyetayari twende tujilipue. Nina uhakika tutatoka tu.
Niko tayari hata akipatikana mmoja. Huku uraiani kuna mdada aliniahidi ila mpaka leo kimya.
Mkuu mkijiunganisha mpange tarehe kuanzia 28/10-3/11 sababu nina ticket na visa tayari ya hizo tarehe
Electronics ni cheap sana kuna shopping mall maharufu sana kwa vitu vya electronic iko located na New Phetchabuti road mwendo mdogo toka Rathchathewi sky train station.Inaitwa Pantip Plaza
Hapo kuna vitu vingi vya electronics, computer software. Printer, camera. Simu, computer equipment, laptops etc.
Pantip plaza ni maharufu sana Bangkok kwa vitu vya electronic japo kwa mtaa pia utapata lakin hiyo ni shopping mall maarufu kwa electronics
Hawa jamaa uliotuwekea mawasiliano yao wanaweza kutupa maelekezo zaidi?
Mfano mm sipajui huko, siku nikienda wanaweza kuwa wenyeji wangu kule? Au inanibidi nitafute rafiki wakunihifadhi nifikapo kule. Je vipi kuhusu ubaguzi huko kwao, wanajali wateja kutoka nchi zetu?
Vp kuhusu suala la usalama?