Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 312
Fulsa = Fursa
Ndio ulichojua tu kusahisha lugha Haya nenda kwenye mada husika.
Ila ujue kwamba kiswahili kinatofautiana kulingana na nchi.Kiswahili cha Rwanda,Congo,Burundi, Kenya na Tanzania vinatofautiana usitake watu wafate swahili ya Bongo,JF ina member wa kila nchi.
Kama hauna cha kujibu bora unyamaze tu
Cha India mbona umesahau?
Ndio ujue kiswahili kinatofautiana .Kiswahili cha Kanjibai hakiwezi fanana na shaban
kwahiyo hapo ndio unajadili na maada iliyowasilishwa? ndomana naogopa kuzeekaKijana, Kiswahili ni kimoja tu zinazotofautiana ni lafdhi. Mombasa, wakikuita wanakwambia "ndoo"" sisi tunasema "njoo" lakini wakiandika wanaandika "njoo" na hawaandiki "ndoo".
Kanjibhai ambae hajakulia na Waswahili, akisema "wewe" atatamka "veve" lakini akiandika haandiki "veve" ataandika "wewe".
Kutofautiana lafdhi si kuwa lugha ni tofauti.
Mfano mwingine ni tofauti ya maneno yanayotumika, mfano, Zanzibar "bomba" wanasema "mfereji" na mfereji huku kwetu kwetu ni kitu kingine kijulikanacho pia kama "mtaro" lakini mfereji kuuandika "mfeleji" au mtaro kuuandika "mtalo" ni kosa la kuandika Kiswahili na si kuwa lugha zimetofautiana.
Soma kijana, una mengi ya kujifunza.
kwahiyo hapo ndio unajadili na maada iliyowasilishwa? ndomana naogopa kuzeeka
Jamani kikubwa hapa tunatakiwa kujadili mada sio kusahihishana kiswahili. Anayejua atujuze basi.
- pia naomba na changamoto zilizopo na fulsa zingine zilizopo huko
- MSAADA TAFADHARI,nategemea dec 15 nianze safari ya kwenda huko
Kijana, Kiswahili ni kimoja tu zinazotofautiana ni lafdhi. Mombasa, wakikuita wanakwambia "ndoo"" sisi tunasema "njoo" lakini wakiandika wanaandika "njoo" na hawaandiki "ndoo".
Kanjibhai ambae hajakulia na Waswahili, akisema "wewe" atatamka "veve" lakini akiandika haandiki "veve" ataandika "wewe".
Kutofautiana lafdhi si kuwa lugha ni tofauti.
Mfano mwingine ni tofauti ya maneno yanayotumika, mfano, Zanzibar "bomba" wanasema "mfereji" na mfereji huku kwetu kwetu ni kitu kingine kijulikanacho pia kama "mtaro" lakini mfereji kuuandika "mfeleji" au mtaro kuuandika "mtalo" ni kosa la kuandika Kiswahili na si kuwa lugha zimetofautiana.
Soma kijana, una mengi ya kujifunza.
=uchapaji. :teeth: kazi ipo leo. haya jamani tuhamie kwenye mada.....Na wewe hapo kwenye red umemaanisha nini?? usimnyoshee mwenzako kidole wakati we mwenyewe yanakukuta, huo ni uchapiji tu na ni jambo la kawaida!
Cha msingi tujaribu kumsaidia mtoa mada ili aweze kufanikisha haja yake.
lafdhi = lafudhi
Na wewe hapo kwenye red umemaanisha nini?? usimnyoshee mwenzako kidole wakati we mwenyewe yanakukuta, huo ni uchapiji tu na ni jambo la kawaida!

Wewe Kiswahili umejifunza kuanzia shule, mimi Kiswahili ni lugha mama. Lafdhi ni sahihi, tena kwa kuringa kabisa.
Sio Lafdhi ni Lafudhi
Na wewe hapo kwenye red umemaanisha nini?? usimnyoshee mwenzako kidole wakati we mwenyewe yanakukuta, huo ni uchapiji tu na ni jambo la kawaida!
Cha msingi tujaribu kumsaidia mtoa mada ili aweze kufanikisha haja yake.
lafdhi = lafudhi
Fulsa = Fursa
Cha India mbona umesahau?
Kijana, Kiswahili ni kimoja tu zinazotofautiana ni lafdhi. Mombasa, wakikuita wanakwambia "ndoo"" sisi tunasema "njoo" lakini wakiandika wanaandika "njoo" na hawaandiki "ndoo".
Kanjibhai ambae hajakulia na Waswahili, akisema "wewe" atatamka "veve" lakini akiandika haandiki "veve" ataandika "wewe".
Kutofautiana lafdhi si kuwa lugha ni tofauti.
Mfano mwingine ni tofauti ya maneno yanayotumika, mfano, Zanzibar "bomba" wanasema "mfereji" na mfereji huku kwetu kwetu ni kitu kingine kijulikanacho pia kama "mtaro" lakini mfereji kuuandika "mfeleji" au mtaro kuuandika "mtalo" ni kosa la kuandika Kiswahili na si kuwa lugha zimetofautiana.
Soma kijana, una mengi ya kujifunza.
Mada si msahafu ambao huwezi kuongelea mengine au kuingiza mengine.
Hizi mada hapa hazina tofauti na vijiwe vyovyote vile, na ndiyo raha ya mnakasha, siyo mkazanie biashara ya India tu bila kuelimishana mengine.
= fursa
= TAFADHALI
Wewe Kiswahili umejifunza kuanzia shule, mimi Kiswahili ni lugha mama. Lafdhi ni sahihi, tena kwa kuringa kabisa.
Kiswahili hukijui na huyo mnaemfata aliyebadili kutoka lafdhi kuwa "lafudhi" pia kachapia.