Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 312
Wanabodi nilikua naomba kupatiwa kuhusu biashara za nywele za kichwani za kina dada,mwenye uzoefu na India nilikua naomba utupatie taarifa,alieniletea aliniambia amechukua BOMBAY(INDIA) ila hafunguki zaidi
- gharama za viza ya india
- gharama za nauli
- gharama za hoteli
- maduka maeneo gani(ya bei nafuu)
- kama kuna baadhi ya watanzania wanakwenda kibiahara huko wanaweza kutupatia taarifa zaidi
- kama nitapata mtu aliyehuko itakua vizuri
- pia naomba na changamoto zilizopo na fulsa zingine zilizopo huko
- MSAADA TAFADHARI,nategemea dec 15 nianze safari ya kwenda huko