Fursa za biashara Ngudu, Kwimba

Fursa za biashara Ngudu, Kwimba

Joined
Aug 17, 2020
Posts
10
Reaction score
8
Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba.

Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
 
Back
Top Bottom