hehehehe kanibahatisha tu wakati sijalipuliza lol
Unahitaji ticket na visa kwa dola kama 1500 hivi. Hotel and acconodation ni rate za kawaida. Tzs 50,000 hivi kwa siku kulala na chakula kawaida depending on ur choices.
Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. Sasa angalia biashara unayotaka kufanya, kama ni ya kuchuuza nguo, vyombo, electronics etc. Ila mashine mbali mbali ni bei nzuri pia, kama mashine za hotel, na vifaa vyake kama viti, covers, na vyombo vya jikoni.
Kusafirisha unamtumia agent, mostly hsc ndo cheapest na anachaji kwa ujazo. Kwa hiyo kama unaleta nguo za ndani etc ujue kusafirisha ni bei chee, belo moja laweza kuwa hata $100. Kama ni mashine ama vyombo inategemea, one cubic meter ni 400$ kwa non electronic na all electronics ni $ 500 kama sijakosea kidogo. Hii hela unailipa mzigo ukishafika bongo na inajumuisha kila kitu pamoja na kodi
Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.
umeona eeh,king'asti saa ingine anakuaga very usefull.safi sana hii nimeipenda
Chupuchupu nikujibie mama, kwa ss tunaokufahamu tuliona kbs kwamba mpongezaji kachemka-just kudding.
umeona eeh,king'asti saa ingine anakuaga very usefull.
hsc ndiyo nini mkuu?naomba unielewesheUnahitaji ticket na visa kwa dola kama 1500 hivi. Hotel and acconodation ni rate za kawaida. Tzs 50,000 hivi kwa siku kulala na chakula kawaida depending on ur choices.
Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. Sasa angalia biashara unayotaka kufanya, kama ni ya kuchuuza nguo, vyombo, electronics etc. Ila mashine mbali mbali ni bei nzuri pia, kama mashine za hotel, na vifaa vyake kama viti, covers, na vyombo vya jikoni.
Kusafirisha unamtumia agent, mostly hsc ndo cheapest na anachaji kwa ujazo. Kwa hiyo kama unaleta nguo za ndani etc ujue kusafirisha ni bei chee, belo moja laweza kuwa hata $100. Kama ni mashine ama vyombo inategemea, one cubic meter ni 400$ kwa non electronic na all electronics ni $ 500 kama sijakosea kidogo. Hii hela unailipa mzigo ukishafika bongo na inajumuisha kila kitu pamoja na kodi
Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.
ndugu piga namba hii upate maelezo 0653264460
Home Shopping Centre.hsc ndiyo nini mkuu?naomba unieleweshe
Unahitaji ticket na visa kwa dola kama 1500 hivi. Hotel and acconodation ni rate za kawaida. Tzs 50,000 hivi kwa siku kulala na chakula kawaida depending on ur choices.
Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. Sasa angalia biashara unayotaka kufanya, kama ni ya kuchuuza nguo, vyombo, electronics etc. Ila mashine mbali mbali ni bei nzuri pia, kama mashine za hotel, na vifaa vyake kama viti, covers, na vyombo vya jikoni.
Kusafirisha unamtumia agent, mostly hsc ndo cheapest na anachaji kwa ujazo. Kwa hiyo kama unaleta nguo za ndani etc ujue kusafirisha ni bei chee, belo moja laweza kuwa hata $100. Kama ni mashine ama vyombo inategemea, one cubic meter ni 400$ kwa non electronic na all electronics ni $ 500 kama sijakosea kidogo. Hii hela unailipa mzigo ukishafika bongo na inajumuisha kila kitu pamoja na kodi
Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.
ndugu piga namba hii upate maelezo 0653264460
Duh, JF ni zaidi ya darasa.
Mimi nina tatizo moja nahitaji msaada wenu. Je kuna uwezekano wa kuagiza vitu toka china bila mimi mwenyewe kwenda?
Bei zikoje? Je kuna kampuni au watu ambao wanahusika kufanya shuguli hizi?
How risk is it? kwa wataalamu na wazoefu wa biashara hii manatoa ushauri gani
Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.
Kuna sembe na dona,chagua moja
Vipi kuhusu biashara ya nguo mkuu, 10M inatosha kwa kuanzia??
dah, siwezi jua aisee.
mie najua general costs, bidhaa specific sasa itategemea na mali unayotaka kununua. ila inawezekana ikatosha kutegemeana na ni quality gani unalenga kununua.
njia rahisi zaidi nadhani ni kuamua unalenga wapi na kujirafikisha kwa mtu anaefanya hiyo biashara. ila from what i hear nguo za china zina uzwa like 3 to 5 up to 6 times ya bei uliyonunulia. sina hakika sana, dont quote me :flypig:
King'ast unaenda lini tena nijirafikishe kwako? Yaonekana kapiriensi yako ya uchina iko juu sana.