Fursa za biashara uchina

Fursa za biashara uchina

Unahitaji ticket na visa kwa dola kama 1500 hivi. Hotel and acconodation ni rate za kawaida. Tzs 50,000 hivi kwa siku kulala na chakula kawaida depending on ur choices.

Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. Sasa angalia biashara unayotaka kufanya, kama ni ya kuchuuza nguo, vyombo, electronics etc. Ila mashine mbali mbali ni bei nzuri pia, kama mashine za hotel, na vifaa vyake kama viti, covers, na vyombo vya jikoni.

Kusafirisha unamtumia agent, mostly hsc ndo cheapest na anachaji kwa ujazo. Kwa hiyo kama unaleta nguo za ndani etc ujue kusafirisha ni bei chee, belo moja laweza kuwa hata $100. Kama ni mashine ama vyombo inategemea, one cubic meter ni 400$ kwa non electronic na all electronics ni $ 500 kama sijakosea kidogo. Hii hela unailipa mzigo ukishafika bongo na inajumuisha kila kitu pamoja na kodi

Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.

safi sana hii nimeipenda
 
Duh, JF ni zaidi ya darasa.
Mimi nina tatizo moja nahitaji msaada wenu. Je kuna uwezekano wa kuagiza vitu toka china bila mimi mwenyewe kwenda?
Bei zikoje? Je kuna kampuni au watu ambao wanahusika kufanya shuguli hizi?
How risk is it? kwa wataalamu na wazoefu wa biashara hii manatoa ushauri gani
 
hsc ndiyo nini mkuu?naomba unieleweshe
 
Asante sana Mkuu umenifumbua macho

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ndugu piga namba hii upate maelezo 0653264460

mwalisi kama siyo utapeli ni nini, mwanga aujjanja hapa kama ya uongo ukosolewe hapahapa!
ndo nyie kujifanya wajanja kumbe mwapaka wanja.
King'asti amwaga useful information hapa unadhani hakuwa na uwezo wa kuweka namba ili apigiwe! Acha ubinafsi kama unaona hadi upigiwe simu fungua call centre utapokea simu utakavyo!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu waswahili huwa hamuelewi biashara ni risk. sasa utakapoelekezwa kwa mtu na merikebu ikazama utaanza kumtolea macho hapa kama kakutapeli. Nenda mara ya kwanza mwenyewe ili ujenge na imani pia, ujue bei na mazingira yalivyo. Ukiwa huko utaweza kutengeneza contacts na kujua nani umuagize nini. Manake wabongo kwa lawama, akikutuma hata nyanya ukileta atasema umepunguza kisado hakijajaa.

Nna rafiki yangu ananunua malori ya kusafirisha mizigo nje ya nchi. alipata deal nzuri sana akanunua lori UK. mshkaji mwingine akamuomba contacts. kumbe website imekuwa hacked, jamaa wakamla $ 65,000. mhanga hataki kuripoti interpol japo wenye kampuni wamemuambia kuna cases 5 na zinashughulikiwa. anamuambia mshkaji wewe ndio umenitapeli. mwisho wa siku mshkaji hakubaliwi kuripoti manake hela sio yeye alituma.

biashara za wabongo ngumu mno. ila kwa wanaofanya biashara serious wanasema jamaa ni waaminifu. manake pia unaingia dukani, unaagiza mashine ama nguo kadhaa kwa kuangalia sample tu na jamaa wanafunga unakutana na vitu bongo. hawakosei
Duh, JF ni zaidi ya darasa.
Mimi nina tatizo moja nahitaji msaada wenu. Je kuna uwezekano wa kuagiza vitu toka china bila mimi mwenyewe kwenda?
Bei zikoje? Je kuna kampuni au watu ambao wanahusika kufanya shuguli hizi?
How risk is it? kwa wataalamu na wazoefu wa biashara hii manatoa ushauri gani
 
dah, siwezi jua aisee.
mie najua general costs, bidhaa specific sasa itategemea na mali unayotaka kununua. ila inawezekana ikatosha kutegemeana na ni quality gani unalenga kununua.
njia rahisi zaidi nadhani ni kuamua unalenga wapi na kujirafikisha kwa mtu anaefanya hiyo biashara. ila from what i hear nguo za china zina uzwa like 3 to 5 up to 6 times ya bei uliyonunulia. sina hakika sana, dont quote me :flypig:
Vipi kuhusu biashara ya nguo mkuu, 10M inatosha kwa kuanzia??
 
  • Thanks
Reactions: GKM
dah, siwezi jua aisee.
mie najua general costs, bidhaa specific sasa itategemea na mali unayotaka kununua. ila inawezekana ikatosha kutegemeana na ni quality gani unalenga kununua.
njia rahisi zaidi nadhani ni kuamua unalenga wapi na kujirafikisha kwa mtu anaefanya hiyo biashara. ila from what i hear nguo za china zina uzwa like 3 to 5 up to 6 times ya bei uliyonunulia. sina hakika sana, dont quote me :flypig:

King'ast unaenda lini tena nijirafikishe kwako? Yaonekana kapiriensi yako ya uchina iko juu sana.
 
Back
Top Bottom