Fursa za biashara zipo, vijana wa Dar es Salaam ni wazembe tu

Fursa za biashara zipo, vijana wa Dar es Salaam ni wazembe tu

Ni sawa na kununua Korosho Iringa halafu ukauze Mtwara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa ndo Motivation Speaker wa Bongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Qumer Kibuyu


Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nini kibuyu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asali inatoka daar unapeleka Tabora [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hapo kwenye alizeti na asali nimekusoma asali kupata kibali sio inshu sana ila mkaa ni kusumbuana na maliasili kupata kibali ni inshu na kama huna kibali kusafirisha mkaa ni kwa kuficha sana pia bado wale jamaa wakikuta na hata gunia 3 na kibali hauna watakuzingua utadhani wamekukuta na meno ya tembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
~ Hii ni idhaa ya kiswahili ya daktari Wa majino!!!
 
Mo leo umeamua kutu snitch?

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom