yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo motivatn speaker jo kila kitu kinaanz na msing kikubwa ni kupean hints ambazo mtu anawez akaanz na kima cha chin kam elfu 50 au laki io mikaa unazngumzia mtu ambae ashajijengaYani kwamba uchukue mkaa dar upeleke morogoro na Tanga au sijaelewa vizuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia tabora kuna asali nyingi sana alafu ww uwaletee asali tenaUnajua lita 100 za asali bei gani? Unajua magunia 10 ya mkaa bei gani? Udhani kila kijana anauwezo wa kuwa na huo mtaji? Au unaongea tu naona akili yako imejaa matope tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeaongea ujinga saana yaani mtu achukue mkaa toka dar aurudishe Tanga wanakochoma mkaa..? 😁😁😁Mimi nilipoanza kulima ndipo niliona Dar kuna vijana wazembe sana yaani wamekaa na wanawaza kuuza viatu na nguo tu hakuna mawazo mbadala yaani hawawazi mambo makubwa.
Nimetoka Dar na nimefanikiwa katika kilimo ila Dar wanawaza tu kufungua maduka ya nguo, viatu na simu. Mfano kijana hapo Dar kuna magunia mengi ya mkaa yanaingia kila siku kutoka maeneo mbalimbali ukichukua magunia yako 10 na Canter upeleke Morogoro au Tanga ndani ya siku 3 mkaa umeisha unarudi Dar kufunga mzigo mwingine.
Basi achana na hilo la mkaa, chukua zako asali lita kuanzia 100 weka kwenye vibebeo safi na nembo yako pia, ingia Tabora au Singida uza ndani ya muda mfupi unarudi kufunga mzigo mwingine hiyo kumbuka ni chini ya wiki moja unaweza kuuza lita 100 za asali.
Chukua mafuta ya Alizeti kiasi cha kutosha ingia Mwanza piga biashara usisubiri serikalini ikuambie fursa, fursa ni nyingi sana hapo Dar ila wengi wamekariri fursa aina moja tu.
Kama kuna yeyote atakuwa tayari nitamsaidia alete biashara yake huku nitamsaidia kutafuta masoko. Pia mjaribu kwenye kilimo sio biashara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
madalaliHuku mtaani kwetu vijana wa miaka 28- 39 wanacheza draft muda wote kila siku nimeshangaa sana hii ndio Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua korosho mbeya peleka mtwaraNimecheka sana..kwamba asali peleka tabora[emoji1787][emoji1787]ohh yeah ..chukua nazi geita peleka tanga..chukua korosho iringa peleka ntwara
Chukua mahindi kariakoo peleka sumbawanga[emoji28]Wee jamaa itakuwa una matatizo ya akili...! Yani utoe mkaa dar upeleke mikoani??????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua mahindi kariakoo peleka sumbawanga[emoji28]Wee jamaa itakuwa una matatizo ya akili...! Yani utoe mkaa dar upeleke mikoani??????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo mazuri, ila I got this gut feeling ya "easier said than done"Mimi nilipoanza kulima ndipo niliona Dar kuna vijana wazembe sana yaani wamekaa na wanawaza kuuza viatu na nguo tu hakuna mawazo mbadala yaani hawawazi mambo makubwa.
Nimetoka Dar na nimefanikiwa katika kilimo ila Dar wanawaza tu kufungua maduka ya nguo, viatu na simu. Mfano kijana hapo Dar kuna magunia mengi ya mkaa yanaingia kila siku kutoka maeneo mbalimbali ukichukua magunia yako 10 na Canter upeleke Morogoro au Tanga ndani ya siku 3 mkaa umeisha unarudi Dar kufunga mzigo mwingine.
Basi achana na hilo la mkaa, chukua zako asali lita kuanzia 100 weka kwenye vibebeo safi na nembo yako pia, ingia Tabora au Singida uza ndani ya muda mfupi unarudi kufunga mzigo mwingine hiyo kumbuka ni chini ya wiki moja unaweza kuuza lita 100 za asali.
Chukua mafuta ya Alizeti kiasi cha kutosha ingia Mwanza piga biashara usisubiri serikalini ikuambie fursa, fursa ni nyingi sana hapo Dar ila wengi wamekariri fursa aina moja tu.
Kama kuna yeyote atakuwa tayari nitamsaidia alete biashara yake huku nitamsaidia kutafuta masoko. Pia mjaribu kwenye kilimo sio biashara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahahahahaha dahHuyu jamaa katoroka mirembe nini!
Yani tununue ndizi Dar tukauze Kilimanjaro kweli?