Fursa za biashara

Fursa za biashara

IBRAHIM NYEMBA

New Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Wakuu habari,

Naomba mwenye kujua maeneo ya nchi yetu ya Tanzania yenye watu wengi ambayo unaweza kufanya kazi ya UWAKALA wa benki na MITANDAO ya simu kwa mchana na biashara kama chips bila kufunga kwa maana ya masaa 24 nahitaji npate eneo husika mfano mtu akinambia Dodoma mtaa flani itakuwa zuri zaidi tuweze kushea fursa mbalimbali KARIBUNI sana wadau👏👏👏👏
 
Naona wamechelewa Sana kukujibu... ila wako njiani wanakuja mkuu
 
Iko general sana kwahiyo kila mtu ataje eneo kokote Tanzania? Afu utachagua uende au tunataja tu?
 
Habari wana jamii forum! Mimi namiliki kampuni inayojihusisha na usambazaji wa vifaa vya ujenzi, vipuri nk nahitaji washirika kufanya nao kazi
 
Sasa kama uko Dodoma.. Si ufanye research mkuu!
maswala haya ya uwekezaji usi ulize sana..vitu vingine huwezi ambiwa kamwe!
 
Back
Top Bottom