Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa ndipo ung'olewaji wa mifupa utakapotokea...😅Hili nalo litafanya tusipate haki sawa.
Watufanyie wepesi maana tunaishi kama ile miaka ya tisini umeme unakata kata, kwa alipo tufikisha mjomba tulikuwa pazuri....Ukitumia solar maana yake umeingia kwenye anga zao.
Hii nchi kwa sasa Mungu mwenyewe aingilie kati.Imeshindikana.Watufanyie wepesi maana tunaishi kama ile miaka ya tisini umeme unakata kata, kwa alipo tufikisha mjomba tulikuwa pazuri....
hii cutoff ya hivi ni tunarudia analogia kwenye mifumo, sababu world is now digital in the system.
Hili la sola naliunga mkono.Hawa wajinga wanaokula kodi za watu huwa wanafanya makusudi na kuhujumu shirika la umeme
Kama ni hukumu ya kifo ningenyonga wote hao
Hawajali una kampuni au binafsi
Mitambo na freezer na vifaa vinakufa kila leo wala hawajali
Hii ni kadhia kubwa kungekuwa na haki ilibidi walipe kwa matatizo yao haya
Pambaneni mnunue solar hata kama utadunduliza miaka 5
Na wenye nyumba za kupanga wangeweka solar za kuendesha kila kitu na hata wakipandisha kodi sawa tu
Tumelala sana waafrika sijui tumebeba nini vichwaniHili la sola naliunga mkono.
Yaani kama tuna akili hizi solar ilibidi tutengeneze na sisi kwani hatuwezi jamani?Hili la sola naliunga mkono.