CC:
SueIsmael
Nyingi bado dirisha liko wazi kwa wanaotaka kuanza mwisho wa mwaka huu au mwanzo wa mwaka ujao. Baadhi hizi hapa:
Canada:
Scholarships for Non-Canadians
UK:
Scholarships | Chevening
Sweden:
https://studyinsweden.se/scholarships/#
Switzerland:
Scholarships
EU
EMJMD Catalogue
USA:
Education & Culture | U.S. Embassy in Tanzania
Kwa wanaotafuta ufadhili wa masomo nchi nyingine:
1. Hakikisha unatafuta taarifa katika sehemu sahihi, maana matapeli ni wengi. Anza na tovuti za balozi za nchi husika, tovuti ya wizara ya nje, TCU, tovuti za vyuo husika, nk
2. Umahiri katika lugha ya kiingereza (kama ndiyo lugha ya kufundishia) ni muhimu sana.
3. Jitahidi kutafuta makundi au mtandao wa wanufaika wa ufadhili unaotafuta (alumni groups) kabla ya kuomba.
4. Hakikisha shahada/stashahada utakayosomea inatambulika na TCU kabla ya kusomea.
Kila la kheri!
Credit: CC:
SueIsmael
THANKS