nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Acha uongo. Kuna Mchele Pharmacy ametawala Tabora mjini.1. Fungua duka kubwa la dawa (Big Pharmacy). Maana hakuna hilo duka,
Pale Tabora mjini, yaliyopo ni maduka madogo madogo
Acha uongo. Kuna Polyclinic ya Mission ipo pale Ipuli huwaambii kitu wana-Tabora2. Fungua kliniki kubwa ya kisasa ya kibingwa (Polyclinic).
Acha uongo. Rogers Photo Studio yuko pale opposite na NMB utampeleka wapi?4. Fungua printing company matata, unakula tender zote za kuchapisha vitu mbalimbali.
Wewe utakuwa umesimuliwa kuhusu Tabora au huna akili...Fungua duka kubwa la dawa (Big Pharmacy). Maana hakuna hilo duka,
Pale Tabora mjini, yaliyopo ni maduka madogo madogo na wagonjwa wengi wanatumwa kwenda Mwanza, Dodoma, Dar au Kilimanjaro sometimes kufuata kununua dawa tu.
Urambo, kaliua zinakubali na pamepakana na kahama, kigoma yote iyo, warundi wanahamia mdogo mdogo.....Nenda Tabora mjini fanya utafiti ni wilaya gani wanalima kwa wingi zao la karanga. Ukipata jibu nenda hiyo wilaya ndani ndani huko chukua heka kumi lima hilo zao, karanga kule zinakubali sana.
Mwalala mpola, niliwahi pata mwanamke wa kinyamwezi akawa ananifundisha kilugha, nikasahau kichagga ghafla๐ anatokea urambo mpigwa, ๐ ๐ ๐ ๐Wewe utakuwa umesimuliwa kuhusu Tabora au huna akili...
Yaani mtu atoke tabora aende Kilimanjaro au Dodoma kufata pharmacy?
Uli ihugane sana, ivya lyako...
Mkoa wa Tabora ambao nimefanya Kazi Miaka 5 kuna Fursa za Usindikaji Mazao ya Kilimo hasa Mpunga,Karanga na Asali.Haya Mengine ya Kulima na uchuuzi yako na risk za Kutosha.Pharmacy zipo za Kutosha Kwa sasa.Polyclinic nyingi zimejifia Kifo cha Mende,sababu zinajulikana.Ukiwa na Mtaji Ingia Igunga na Nzega kuanzisha Uchimbaji na uchenjuaji wa Dhahabu.Mkoa Una watu wengi lakini wamesambaa maporini na per capita income Yao IPO Ch