Wakala og
Member
- Jan 16, 2023
- 13
- 13
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]Kiuhalisia maisha kwa mji wa tunduma ni nafuu yani vitu ni bei ndogo,hasa nyumba na vyakula,kwa biashara ya kilimo na mazao ni sahihi,ila mzunguko sio mkubwa sana kama miaka hiyo ambapo Kwacha ilikuwa na thaman sana na wazambia walkuwa hawafwati mizigo dar,japo Bado Pana unafuu ukilinganisha na mikoa kama Iringa,njombe,mbeya,rukwa katav