Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]
 
Hi zipi hizo fursa wasizo ziona funguka? Ndio lengo la mleta uzi anataka kujua sio kuficha ficha.
Chief fursa ziko nyingi mno maana kuna Magar makubwa yaeendayo nchi jilan kama Zambia,Malawi,Zimbabwe,Burund na Kongo uk yapo ya kutosha mpk kuna mda barabara inakuwa Jamu.,kwa iyo wagen ni wengi wa kuingia na kutka kwanza ujue uk ni border ivyoo mwingiliano wa watu ni mwingi mno ivyoo ni ww tu kuona kipi kinafaa kukifnya katk hii sehem.
 
Ni sawa usemavyo ila tambua kuwa Jungu kuu halikosi ukoko.
Ni sawa,lakini tunduma ni mji wenye jina kubwa kuliko uhalisia,vinginevyo afanye magendo,vipodoz,pombe na kuvusha wasomali,ila kwenye hizi za kawaida hapana maajabu kama wengi wanavyozania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…