Fursa zipo shida ni sisi

fursa hazifichwi weka link hapa tuserebuke nayo
Ni kweli lakini pamoja na kukuwekea link kuna sehemu ufika utaomba nikusaidie tena, ndo maana ukija inbox nitakutumia na tutaenda wote pamoja mpaka kukamilisha process yote
 
Ni kweli lakini pamoja na kukuwekea link kuna sehemu ufika utaomba nikusaidie tena, ndo maana ukija inbox nitakutumia na tutaenda wote pamoja mpaka kukamilisha process yote
mkuu mambo yote hayo ungeeleza kwenye uzi mmoja kwamba unapewa link unakwenda hatua hizi na hizi hapo watu watakuelewa na uwaambie gharama za kujiunga na huo utaratibu...... naamini ukifunguka watu wengi wanahitaji hizo hela za kutizama video na mambo kama hayo watu wasichotaka ni kufuchana mambo ww mwagika hapa kama ni miyeyusho watu waseme hapa hapa unataka mtu aje inbox akiliwa kichwa hawezi rudi hapa atachekwa.

mwaga mchele kwenye kuku wengi wajanja wajipigie
 
Huu uzi umeuleta hapa jukwaani.

Hivyo basi, process zote za kujiunga ziweke hapa. Weka na namba yako ya simu. Ambaye atahitaji msaada binafsi atakutafuta.

Hivi huko inbox wakija watu 1000 huoni kama utakuwa unajipa adhabu?.

Kama unataka kusaidia watu weka hapa kila kitu, kuna mwingine atausoma huu uzi saa 9 ya usiku wakati wewe umelala, hatakuwa na haja ya kuja huko inbox kama kila kitu kitakuwa wazi hapa jukwaani.

Msaada gani huo wa kuitana chemba ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…